BLACK MARXIST
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 2,462
- 5,368
Mkuu vipi?Mbona niliku tag leo katika Odds 2.22 ambazo na uhakika nazo sana leo hata angeweka gari angekula maana nilizipitia mara kumi kumi na kuzithibitisha. Inamana uliziacha hizoHii kazi ni ngumu sn aiseee ... mpk sasa huyu nyang'au kachukua 70K yangu ... Hivi hiyo ningesema nkapige zangu K-Vant, Tonic na nyama choma si ngemalizia weekend yangu murua kbs. Nimebaki na 30K nijiulize amanikaushe tu. Upepo mbaya huu
Hii kazi ni ngumu sn aiseee ... mpk sasa huyu nyang'au kachukua 70K yangu ... Hivi hiyo ningesema nkapige zangu K-Vant, Tonic na nyama choma si ngemalizia weekend yangu murua kbs. Nimebaki na 30K nijiulize amanikaushe tu. Upepo mbaya huu
View attachment 624969
Niliku tag(mention) na hii kitu ya Odds 2.21 ambayo leo hata mtu angeweka gari na nyumba na angepata maana nilizichambua mara kumikumi, vipi ukuiona nn?
AS Saint Etienne - Olympique LyonDuuh sikuiona hii mkuu ... yani ndo naiona saiv aiseee. Mara nyingi nkiwa kwny laptop ndo naona notifications zote ... kwny cmu sometimes namiss baadhi ya notifications!
WONView attachment 624969
Niliku tag(mention) na hii kitu ya Odds 2.21 ambayo leo hata mtu angeweka gari na nyumba na angepata maana nilizichambua mara kumikumi, vipi ukuiona nn?
AS Saint Etienne - Olympique Lyon
No red card
1.27
US Sassuolo - AC Milan
X (10 minutes rslts)
1.17
KV Oostende - SV Zulte Waregem
Over 1.5 goals
1.17
Real Madrid - Las Palmas UD
Over 0.5 goals (First Half results)
1.11
Maccabi Haifa - Bnei Sakhnin FC
Maccabi Haifa (Handicap 1-0)
1.15
Total Odds 2.22...namjaribu tena hapa, kama bado una courage twende wote
Bora wewe hata mechi bado unaendelea mimi nimepigwa bila huruma kila sehemuSio bure, kuna uchawi aisee. Baada ya kupokea vichapo vya kutosha mchana kutoka kwa AJAX nikaamua nimvizie KANJI kwa mkeka wa kulalia. Kwenye mkeka wangu kuna
VILLAREAL 2.5
SOCIEDAD WIN
DYNAMO KIEV WIN..
Sasa naona VILLAREAL anakula tu ubuyu bila kujua nimeweka hela zangu kwake
Basi tuombeane SHEKH wangu walau lipatikane goli moja maana wamefunga mawili chapchapBora wewe hata mechi bado unaendelea mimi nimepigwa bila huruma kila sehemu