Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Nakuombea mkuu litapatikana dakika ya 86.Basi tuombeane SHEKH wangu walau lipatikane goli moja maana wamefunga mawili chapchap
toa hiyo draw kwa madrid weka hata under 5.5 au no red card au draw within 10 minView attachment 625026 yan nimechezea za uso mpka nakosa nguvu ya kujilipua
Mmemdharau Madrid ila Wekeni over 3 leo zinatoka.toa hiyo draw kwa madrid weka hata under 5.5 au no red card au draw within 10 min
Wamefunga Lines man kakataa.Basi tuombeane SHEKH wangu walau lipatikane goli moja maana wamefunga mawili chapchap
ukiweka 3.5 under maana yake nn mkuuMmemdharau Madrid ila Wekeni over 3 leo zinatoka.
wafungane ila jumla ya magoli yao yasifike 4 na kuendeleaukiweka 3.5 under maana yake nn mkuu
je akifunga mmoja?wafungane ila jumla ya magoli yao yasifike 4 na kuendelea
hakuna shida cha msingi tu yasizidi4je akifunga mmoja?
View attachment 624919Namalizia kilichobaki leo.
MKEKA LOST
okay je wakienda 0-0hakuna shida cha msingi tu yasizidi4
BADO UMEKIDHI VIGEZO VYA less than 4okay je wakienda 0-0
okay bc nimeelewa mkuu .ntaitumia ila beting inaweza kukufanya ukawehukaBADO UMEKIDHI VIGEZO VYA less than 4
Ooostende, AC Milan na Maccabi wameshakamilisha kazi waliyotumwa hapaHapa nimekupata Chief ... ngoja twende sawa.