Kawaida ndugu yangu tupo wengi, si wewe tuAsante ingawa leo sijatupa kete kwa wachina, baada ya kupigwa na GSW asubuhi, hadi sasa naimba mapambio tuu
dakika 20 kwa kipindi kimoja na kuna vipindi 3 hapo bado hujaweka mapumzikoHivi hii ice hockey wanatumia dk ngap kwa kila period
Okay sawa mkuu, wanatumia muda mwingi ni zaid hata ya footballdakika 20 kwa kipindi kimoja na kuna vipindi 3 hapo bado hujaweka mapumziko
ni tofauti ya nusu saa na footballOkay sawa mkuu, wanatumia muda mwingi ni zaid hata ya football
Okay, hivi wwanapoenda kwenye OT ni pale endapo watakuwa draw mpaka kwenye period 3 siyoni tofauti ya nusu saa na football
yaaah waki draw kwenye zile period 3 wanaenda OT na hapa wakitoka sare wanaenda PenaltyOkay, hivi wwanapoenda kwenye OT ni pale endapo watakuwa draw mpaka kwenye period 3 siyo
basket n nzuri sana liveHAO NDO WACHINA... Ukiweka under yanatoa Over, ukiweka Over yanatoa under... 🙁🙁 Sasa jitimu linapiga vikapu 151, si sifa izo! Alaf juzi yalifunga vikapu 95 kudadeki zaoView attachment 627327
shukran mkuu ngoja nijimalize upande huu kidogo football namwachia koncho na wengine kwa sasa[emoji3] [emoji3]yaaah waki draw kwenye zile period 3 wanaenda OT na hapa wakitoka sare wanaenda Penalty
poa poa tukutane baadae usiku kwenye NHL ice hockey huenda tukaambulia chochote...[emoji4] [emoji4] [emoji4]shukran mkuu ngoja nijimalize upande huu kidogo football namwachia koncho na wengine kwa sasa[emoji3] [emoji3]
mm nimeanza na waRussia mkuu ngoja nimalizane nao kwanza siyo wabaya sana hawapoa poa tukutane baadae usiku kwenye NHL ice hockey huenda tukaambulia chochote...[emoji4] [emoji4] [emoji4]
yaah wapo poa nao huwa nawatupia mchana mara moja moja nikipata mudamm nimeanza na waRussia mkuu ngoja nimalizane nao kwanza siyo wabaya sana hawa