Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo siku ya tatu tangu niwithdraw pesa yangu kupitia M-pesa kwenye acc yangu ya PremierBet bado pesa haijaingia
Mbona mimi nimewithdraw leo saa tano asubuhi imeingia m pesa saa sita na robo
 
Werder Bremen - SC Heerenveen
Yes
1.50

Germany - Italy
Yes
1.66

Total Odds 2.49
 
Mbona mimi nimewithdraw leo saa tano asubuhi imeingia m pesa saa sita na robo
Koncho mimi tangu juzi na nimewapigia customa care wa premier wananiambia tatizo lilikuwa voda maana pesa teyari walishatuma.
 
Jamani eeh, hivi historia ya Northen Ireland inaweza kufanya kazi leo?
Kwamba alicheza game 10 kwenye group lake akafungwa magoli 6 peke yake. Kati ya hayo magoli 5 alifungwa na UJERUMANI kwenye mechi alizopoteza na moja alifungwa na Norway.
Kwa lugha nyingine ana defence nzuri sana.

Swali langu ni kwamba je game ya leo tuchezeje sasa?
 
Mdau hiv kumbe kubet timu moja kwa mikeka(bet slips) tofauti ila option moja inaruhusiwa?
Mfano naona Bristol Rovers umemrudi na mkema mwingine kwa the same option
Yea mkuu
 
naombeni msaada nini nifanye maana nilideposit pesa supabet kupitia mpesa nakumbe hawatumii mpesa kuwithdraw sasa nashindwa chakufanya nawanasema mpaka niende kwenye shop yao namimi nipo arusha sidhani kama wana shop uku
 
Nami naomba msaada jinsi ya kujiunga superbet mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…