Mkuu premier wanetangaza kufunga? Maana nimedeposit asubuh mpaka sasa haisomipremier bet wamefunga system yao kudeposit kwa m pesa imekua tatizo sijui jana wamenyooshwa? anyways
yale makorokocho yetu ya Hockey leo yanakuja na odd 3
View attachment 630655
hawajatangaza nahisi system yao na voda haziko sawa mwenyewe pesa haijafika wameishikilia.Mkuu premier wanetangaza kufunga? Maana nimedeposit asubuh mpaka sasa haisomi
Hata mimi asubuhi nimetuma naona wanakata viunohawajatangaza nahisi system yao na voda haziko sawa mwenyewe pesa haijafika wameishikilia.
saaf sana ndugu zangu tunavyoshare hiz stratergies...maana football inatuumiza kila sikuBasket cku hiz nacheza OVERTIME naipa NO ni ya uhakika sana ila odd ndio kiduchu, hapo naongezea na game mbili tatu za Tennis nachukua mchezaj menye odd ndogo kwenye hiyo game nampa TO WIN ONE SET(hii option ipo premier) Nikishatupia hapo uhakika 90%
wamejitahid sana corner zote ni italy, sweden wamezinguaaaaItaly ******* sana wamenikosesha hela hivihivi, wanashindwa hata kutoa over 8.5 corner..
Vipi kwenye withdraw itakubali kweli? maana nataka kuwithdrawhawajatangaza nahisi system yao na voda haziko sawa mwenyewe pesa haijafika wameishikilia.
Tu naomba mtuwekee na nchi jamanipremier bet wamefunga system yao kudeposit kwa m pesa imekua tatizo sijui jana wamenyooshwa? anyways
yale makorokocho yetu ya Hockey leo yanakuja na odd 3
View attachment 630655
Na n kweli kabsa aiseeMwenye uchungu na italy ni ballotel tuu
Asante kwa muongozo chief.kwa haraka haraka ice hockey au mchezo wa magongo ni mchezo unaochezwa na wachezaji 6 kila upande katika vipindi 3 vya dakika 20 kila kipindi, kuna halftime baada ya kila kipindi kwa ujumla unaweza chezwa ndani ya masaa mawili hivi.
unachezwa nchi nyingi ila hasa zile zenye barafu maana unahusisha kuteleza kwenye uwanja wenye Ice ndo maana unaitwa ice hockey,
kama ilivyo football huku pia kuna Both team to score ambayo probability ni kubwa sana 80%-90% ila hutokea pia zizifungane maana inategemea na ligi husika ipoje.
kutabiri ushindi wa moja kwa moja ni kama mpira wa miguu tu unaweza kuta team yenye uwezo inachezea kichapo kama kawaida, kuna options za Hand caps kuanzia 1-3 ambazo zina odds nzuri tu ukicheza vizuri inatoa fresh.
all in all this is still betting hakuna mchezo wa uhakika japokuwa football zinatuliza sana .
mimi ice hockey huwa nikiweka mikeka 5 naweza poteza mmoja au miwili.
n.b usiwe na tamaa ya odds nyingi utapigwa tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] ..
tafuta odds zako mbili weka stake kama tunavyofanya kwenye football tu
Huku kunaitwa kujilipuagame za leo vipi wadau
me nnampa ushindi England X Brazil, Germany X France nimempa France, Nigeria X Argentina nimempa Nigeria... Nimetia 5,000... imekuja 352,000 kwny (sportpesa)
Ahsante kwa taarifa ngoja nione kama na kuwithdraw itakubaliPremier ukideposit sasa hive kwa mpesa inakubali ila hela ya asubuh bado ipo pending
nimejaribu kuwithdraw nusu saa iliopita bado haijafika MpesaAhsante kwa taarifa ngoja nione kama na kuwithdraw itakubali
mkuu ice hockey inatimu chache kwa leo pitia kwa umakini utaziona tuTu naomba mtuwekee na nchi jamani
hata kama system yao iko vizuri bado kwenye kutoa pesa hawa jamaa ni mizigo. jana nimevuta sa mbili na dk 6 imekuja kuthibitishwa sa saba kuelekea sa nane hukonimejaribu kuwithdraw nusu saa iliopita bado haijafika Mpesa