Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu mi huwa nacheza over na under tu na natumia vitibet kufanya kauchambuzi naangalia mwenye odd kuanzia 1.2-1.5 naweka over 4.5 basi nasubiri mafao yangu ya kujitoa kwenye football
Wanacheza dakika ngapi?
 
Mkuu mi huwa nacheza over na under tu na natumia vitibet kufanya kauchambuzi naangalia mwenye odd kuanzia 1.2-1.5 naweka over 4.5 basi nasubiri mafao yangu ya kujitoa kwenye football
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€safi sana meridian wao wana hadi over 3.5
 
Nadhano Mr Q ndo yawezekana anauelewa zaidi kama atakuwa na chakuongezea hapo maan mi idea ya kucheza icehockey niliichota kutoka kwa Mr Q
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…