Siafu na Manga
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 2,908
- 8,996
hahahaha dah wacha nikaweke li msimbaziyaani hapo ningeweka over 4.5 kanji angejutaaa 😀😀😀😀😀😀😀😀
Hii inshu naisikia sikia ila siijui vzr inahusiana na nnHivi kumbe badogo tu mnabetigi.... Mmmmhhh....
Mwenzenu tangu nizamie kwenye Forex Trading, habari za kubeti sitaki tena kuzisikia..
Nisha uninstall ma app yoote ya betting kwenye simu yangu...
M bet nilikua na sh.750/= nishawaambia waichukue tu hiyo balance.
Account yangu ya Premier Bet niliwaambia waifunge kabisa, sijui washafanya hivo.
hahahaha dah wacha nikaweke li msimbazi
Tumia machale mkuu kanji yupo aroundhahahaha dah wacha nikaweke li msimbazi
hilo nalo nane sheikhTumia machale mkuu kanji yupo around
Na mimi leo nataka usiku nilale nikiwa nimetega over 5 USA na Canadahilo nalo nane sheikh
Tupeane tu hiyo mikeka tucheke wote ahsubuhleo usiku kuna mechi kama 18 hivi 12 Za marekani NHL na 6 ni za Canada OHL
kesho tunaweza amka na furaha
Ntatembelea nyota yako leoNa mimi leo nataka usiku nilale nikiwa nimetega over 5 USA na Canada
kwann usiweke over 4.5?Na mimi leo nataka usiku nilale nikiwa nimetega over 5 USA na Canada
sawa mkuu..nimekusoma..Odds 28K au mi sijui kusoma?! Chief unakanyota katamu ila kwa nn kwa siku usimtafute kwa odds chache tu stake sio lazima uanze nayo kubwa, bora 500 upige 900 au 1k cheza hata x3 per day hukosi 3k-4k
Duu mi nilitoaga kwa njia ya vocha bahati mbaya princess tokea tarehe 1 October mpaka Leo bado hawarudisha [emoji35]Duu hatimae fedha yangu ndo imerudishwa leo laki moja toka tarehe 22/9
Labda hujawafuatilia mkuu mi niliwahi kosea hvyohvyo nikatoa kwa voucher niliwasumbua kma siku tatu ya nne wakanipigia simu wenyewe kuwa tayari washairudisha na mda huohuo ikarudi kwa cm so endelea kuwafuatilia watairudisha tu maan customer care yao anagalao wanajitambuaDuu mi nilitoaga kwa njia ya vocha bahati mbaya princess tokea tarehe 1 October mpaka Leo bado hawarudisha [emoji35]
Mr wise tupia mapema hiyo mikeka maana ss wengine upepo umepotea
Naona mzee mwenzangu, vijana wamekushawishi kwenye hockey...huku kwa odds zetu zile chache si mbaya..kati ya mikeka kumi unaweza kuchana 2 ikizidi sana 3
Kabisa mkuu,,,odd 2 kupata sio shida kabisaNaona mzee mwenzangu, vijana wamekushawishi kwenye hockey...huku kwa odds zetu zile chache si mbaya..kati ya mikeka kumi unaweza kuchana 2 ikizidi sana 3
Sawa mkuu nitaweka hapa nikimaliza kuuandaa timu 5.Ntatembelea nyota yako leo
Esbjerg Energy - Copenhagen HockeyMr wise tupia mapema hiyo mikeka maana ss wengine upepo umepotea
Gud sana nasubir nduguSawa mkuu nitaweka hapa nikimaliza kuuandaa timu 5.