Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jana mwindi katokea dirishani. Nilishamshika. Ona hii kitu hapa chini.
 

Attachments

  • 1423397980865.jpg
    87 KB · Views: 173
Jama naombeni tim 5 tu za 1st half draw fasta. Maana mie kila nikichagua inaniua tim 1 ama 2. Msaada wenu tafadhali.
 
pesa kwa mara nyingine... asante Fiorentina kwa ushindi...asante Bunlrey kwa GG
 
ha ha ha ha ha.....bado Man.u na barca nipate laki nane....shukrani ziwaendee Napol na Roma
 
hii ishu wakati mwingine tamu sana.....ila ikikugeuza utakoma mbona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…