m.bet sijui iyo nawekaje?
Kwenye M-bet kwa mfano mechi ya man u unataka wafungane tu utaweka ile namba ya mechi na mbele yake GG.Kwamfano namba ya mechi ni 1860 utaweka 1860-GG
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
m.bet sijui iyo nawekaje?
Kwenye M-bet kwa mfano mechi ya man u unataka wafungane tu utaweka ile namba ya mechi na mbele yake GG.Kwamfano namba ya mechi ni 1860 utaweka 1860-GG
Napenda kutuma salamu kwenu Mtoto wa nzi, Root, r_baharia, Rockcity native, mathematics, Dragondreamx, xyz123, Deo Corleone na wakongwe wote wa uzi huu, mbona kimyaa?
Au ndo mnamkimbiza Mhindi kimya kimya?
sijawahi ona hiyo option.
Hali ni mbaya sana ndugu. Usione tupo kimya tunasikilizia. :sad:
Nikajua ni ile style ya kukimbiza mwizi kimya kimya mpaka yeye mwenyewe ndo apige kelele za "mimi mwiizi".
Kama ukiwa ni mtumiaji wa meridianbet hiyo option ipo sana.Acha hiyo na kuna ya GGGG maana yake kila kipindi wafungane
Napenda kutuma salamu
kwenu Mtoto wa nzi,
Root, r_baharia,
Rockcity native,
mathematics,
Dragondreamx,
xyz123, Deo Corleone
na wakongwe wote wa uzi huu, mbona kimyaa?
Au ndo mnamkimbiza Mhindi kimya kimya?
Nna 2000 niweke timu gan nimle mhindi leo???
Burnley kipindi cha kwanza kiliishaje?