Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kumbuka jana timu za Belgium zimefungana sana. Betting ina mgogoro aisee?.Waweza kuta game ya ManCity ikasha kwa handcap draw ya goli moja kwa hiyo timu ya ugenini
 
Big up asee..
 
Siwezi weka hata kwa odds 5 ila city hapana....
Barca Jana, real jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…