Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hivi hii minimum one red card ina maana gani, nisije kuingia chaka
Maana yake kirahisi ni Je iyo game itatoa red card ama haitatoa so Ukisema "Yes" maana yake umesema itakua na red card walau moja, ukisema "No" maana yake umesema iyo game haitakua na red card
 
Wazee wa mkeka na deposit vipi maana sioni mahali pa deposit
 
Maana yake kirahisi ni Je iyo game itatoa red card ama haitatoa so Ukisema "Yes" maana yake umesema itakua na red card walau moja, ukisema "No" maana yake umesema iyo game haitakua na red card
Asante mzee wa busara
 
Msaada namna gani mtu anaweza ku deposit mkeka bet leo kwa mara ya kwanza nataka niwajaribu hao jamaa
 
Lokomotive Zagreb
Sparta praha
Coventry
Hizi game zote ni draw handcap
 
Mimi najipanga na Uefa juma4 na juma5, huwa nabahatisha kwenye uefa tu league nyingine naliwa tu.
 
wakuu kwenye PremierBet kuna ile sehem ya bet shop, uki click zinakuja namba za kulipia mkeka,. je hizo namba naweza kuulipia mkeka wng kwa njia ya mpesa pasipo kudepost?
 
Odds 1.7

Shkendija 79 v FK Pelister 2.5+

VVV Venlo v AZ Alkmaar 2.5+
 
Mkuu kale ka option ulikaelewa?



Hapana Mkuu, leo asubuhi nilipitia zile "Betting Rules" zote za premierbet lakn hawajafafanua hii option.



Ila kwa kutumia reference ya "Draw No Bet", nafikiri wana maana hii ...

a). Home No Bet - tabiri either "Draw" ama wa "Ugenini ashinde", ikitokea wa nyumbani ameshinda basi unarudishiwa chako (i.e. Bet is void)
b). Away No Bet - tabiri either "Draw" ama wa "nyumbani ashinde", ikitokea wa away ameshinda basi bet is void.
 
kama draw ni inclusive hapo ngoja nikaifanyie kazi hii option
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…