Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo mikeka mingi ila timu za kuconsider ni chelsea,derby,lecester,mancity,arsenal,madrid,barca
 
Mbona M-BET kwenye namba ya biashara wanatuma ya tarakimu 3 wakati inatakiwa at least 4
 
Wakuu leo najilipua na ile option ya kipindi kipi kitakuwa na magoli mengi kati ya first half, second half or draw, kuna mdau ambaye anaichezaga hiyo option.?

Ninafikiri kubeti mechi kati ya hizi Man city, real madrid, Barcelona, Dortmund, Arsenal, southampton. Kuna mdau wa kucheza hii option.?
 
Unataka kuweka kipind cha pili peke yake au na cha kwanza au sawa sawa?
 
Unataka kuweka kipind cha pili peke yake au na cha kwanza au sawa sawa?

Hapana kaka, hii option ni inakupa uwezo wa kubashiri kipindi gani kitakuwa na magoli mengi kiujumla toka timu zote kwa jinsi nilivyosoma maelezo yao toka katika website ya premier betting.

Ingia www.premier-betting.co.tz halafu ingia katika option ya first or second half..!
 
Leo mm nmewapa fulham,cardif,leicester,wigan,qpr,burnley,arsenal,city na chelsea...mikeka 4.
 
Kazi kwenu wadau za uwakika leo , yani zile za kucheza HandCap ndio hizi.
Ushahuri usitupie zaidi ya tatu kwa kupunguza risk.

Manchester City, Borussia Dortmund, Celtic,Roma, Real Madrid, Lokomotiv Plovdiv, Olympiakos Piraeus
 
kibanga vp kijana naona leo umeonekana. Pole na majanga ya kanjibah
 
weka treble bet Man City,Chelsea and Southampton pesa nyingi zitarudi nyingi. Southampton Away itakupa good invest hehe.
 
weka treble bet Man City,Chelsea and Southampton pesa nyingi zitarudi nyingi. Southampton Away itakupa good invest hehe.

Ndugu hao Southampton hawadhaminiki watakuchania mkeka, Mimi hapa Chelsea kuna mkeka hapa wanakribia kuchana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…