Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,445
- Thread starter
- #981
Leo mikeka mingi ila timu za kuconsider ni chelsea,derby,lecester,mancity,arsenal,madrid,barca
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo mikeka mingi ila timu za kuconsider ni chelsea,derby,lecester,mancity,arsenal,madrid,barca
Mbona M-BET kwenye namba ya biashara wanatuma ya tarakimu 3 wakati inatakiwa at least 4
Umemsahau psg pamoja na valencia,lazio,atletico,juve-megamix
hiyo mikeka ya usiku kaka, bora mikeka uiandae sahv ikifika usiku mtandao unazingua sana
Wakuu leo najilipua na ile option ya kipindi kipi kitakuwa na magoli mengi kati ya first half, second half or draw, kuna mdau ambaye anaichezaga hiyo option.?
Ninafikiri kubeti mechi kati ya hizi Man city, real madrid, Barcelona, Dortmund, Arsenal, southampton. Kuna mdau wa kucheza hii option.?
Toka asubuhi mtandao ulikua unazngua vipi sahivi upo freshi??
Unataka kuweka kipind cha pili peke yake au na cha kwanza au sawa sawa?
Kazi kwenu wadau za uwakika leo , yani zile za kucheza HandCap ndio hizi.
Ushahuri usitupie zaidi ya tatu kwa kupunguza risk.
Manchester City, Borussia Dortmund, Celtic,Roma, Real Madrid, Lokomotiv Plovdiv, Olympiakos Piraeus
kibanga vp kijana naona leo umeonekana. Pole na majanga ya kanjibah
weka treble bet Man City,Chelsea and Southampton pesa nyingi zitarudi nyingi. Southampton Away itakupa good invest hehe.