Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mwenye taarifa yoyote ya hii mechi jamani. Kwanini corithians kapewa odds 8.8
 
Hawa mkekabet hii option ya cashout hakuna chochote, nimeijaribu kumbe stake wanaichukua bana
 
Nime cash out nikaambulia sh 43 tu wakati katk mkeka team 5 zilishakua WON
Makampuny ya Africa Kwa
Swala la cash out hawako seriously
Bali wanaweka kuvutia tu wateja

Meridian ndo wako vzr na turbo
Yao shda n hyo service error yao
 
Game ya Valencia inakosa
kutoa gol first half aiseee he hee
Kubaya kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…