Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

PSV noma sana 2+ ilikuwa na odd 1.08 na haijatoa
 
Leo kwa waliocheza 3+ naona ni siku ya neema kwao. Lots of 3+
Kinachotokea leo sikiamini..kwakweli....Premier bet nimedeposit mara mbili....mpaka sasa....account..imepukutishwa utadhani kideri kimepita
NImekimbilia mkeka bet nikajua cashout yao inaeleweka napo wanakubana...mpaka stake yako wanabeba.....
 
Duuuh leo ni hatareee, Valencia pamoja na Getafe kulimwa red card dk 25 lkn wamepigwa. Kaaazi kwl kwl mamaeeee
 
Jamani mi ni mgeni wa kubet naombeni mnieleweshe maana ya Odd over 2.5, sjui maana yake jamani cz naona hiyo Kama nzuri make mnaipenda kuitumia.
 
Hii kazi nakwambia hata ujizuie kutokuwa na tamaa km kupigwa utapigwa tu ... Valencia, Celje, Villarreal naona hata DC imewashinda.
 
[emoji23] [emoji23] Aisee sijabet leo ila nikiangalia matokeo haya najipa pole kimya kimya
 
Timu yakuibetia iliyobaki ni Man city tu kiukweli hawakuangushi
 
Ushauri.. ni cashout au niendelee kusubiria....game zilibaki naona kama zitatoa....

Mkeka huu...stake 5000 inaleta 500K
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…