Si kwel mkuu nmelog in siyo muda na nkatandaza lami na kusubmit sijadelay mahaliHapo Tatizo ni muda umechelewa kulipia
Naomba namba zao mkuu... Mechi zimeshinda tangu saa 1hawajalipa mpaka sasaNjoo princesses
I mean ile wanasema bet close at.... Jana Nilipata kisanga kama hicho. Muda Ulikua ushaisha Angalia mechi zako toa ambayo ipo karibu kuanzaSi kwel mkuu nmelog in siyo muda na nkatandaza lami na kusubmit sijadelay mahali
I mean ile wanasema bet close at.... Jana Nilipata kisanga kama hicho. Muda Ulikua ushaisha Angalia mechi zako toa ambayo ipo karibu kuanza
betting mkuuMinimum stake for betting or depositing ??
kuna mtu alinambia 1000Minimum stake ni Tshs.500
Mmmmh Mbona wako faster SANA. Wacheki kwenye chatting watakujibu fasterNaomba namba zao mkuu... Mechi zimeshinda tangu saa 1hawajalipa mpaka sasa
kuna mtu alinambia 1000
Mkuu nadhani tatzo ilo huja pale unapokua kuna team ktk mkeka wako na wakati game yake imeshaanza so ku solve ni kuiondoa iyo team ktk sliptimu zenyewe ni hizo mkuu mwenyewe siwaelewi imebid nipumzike tu coz sion sababu ya kufanya hvo labxa kam nao ndo wameanzs mambo ya server error
Match zte znaanz saa 22:45 mkuu nafkr tu system yao imeyumba nmefungua version ya desktop imekubaliMkuu nadhani tatzo ilo huja pale unapokua kuna team ktk mkeka wako na wakati game yake imeshaanza so ku solve ni kuiondoa iyo team ktk slip
Oooh kweli hapo possible system imechemkaMatch zte znaanz saa 22:45 mkuu nafkr tu system yao imeyumba nmefungua version ya desktop imekubali
tumia browser ya chrome, hili tatizo huwa linanitokea nikitumia Uc browser. ubaya wa chrome huwa ina refresh Mara kwa Mara so ukichelewa kidogo tu mikeka inafutika ila Uc browser unaweza kaa hata SAA nzima huja'Submit na mkeka wako ukaendelea kuwepoMatch zte znaanz saa 22:45 mkuu nafkr tu system yao imeyumba nmefungua version ya desktop imekubali
Alichanganya madesa mkuu minimum stake ni 500/ na minimum amount ya kudeposit ndo1000/kuna mtu alinambia 1000
sawa mkuuNafkiri alimaanisha minimum amount you can deposit.
Kudeposit minimum ni 1,000/-
Stake minimum ni 500/-
naomba namba za kampuni nataka kudeposit princess plzWakuu kama mmechunguza vikosi vya timu ambazo zishafuzu sio vile tulivyovizoea kwahyo kwa mikeka yaweza kuwa ngumu kutoboa
Barca Leo wapo kama wanatimiza ratiba tufunny thing will happen tonight. BARCELONA WILL DRAW & QABARAG WILL WIN. BAYER 2-0PSG.. OLIMPIACOS 0- 2JUVE... GOODNIGHT I SHARED 200 ODDS. OOH? GROUP A. MAN U 2-0 WIN. BASEL DRAW. BYE🙂 THATS 1000 ODDS
Chaa ajabu mess hayupoBarca Leo wapo kama wanatimiza ratiba tu