Ally maganga
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 1,433
- 914
Premierbet nafasi bado ipo.nimedeposit pesa Princess Bet mpaka sasa ac inasoma Tsh 0 na game zimeanza huu si upuuzi huu??? bora nirudi zangu Sportpesa japo hawana vioption vingi lakini wako very fast kwenye miamala
nyie wenye experience na princess ndiyo walivyo au mimi tu ndio nimeanza mkosi kwenye hii kampuni??
narudi sportpesa mkuuPremierbet nafasi bado ipo.
ODD mbili hizi.....bet wonMechi za UEFA, kwa wale wazee GG, Over 1.5,2.5 tujaribu kuangalia team
1.Hawa wa wawili chini wanagombea kucheza Europa
View attachment 644469
2.Wanaopigania kuongoza kundi
View attachment 644471
3.Wanaopigania nafasi ya ku-qualify kama mshindi wa kwanza na wapili
View attachment 644474
View attachment 644475
View attachment 644478
2+, GG hatukosi hapa....zitakazotupa ODD 2+ kwa mechi zote hizo
UBASHIRI WANGU
Barcelona 2+ odd 1.12
PSG BTTS odd 1.40
Man U 2+ odd 1.25
Chelsea 2+ odd 1.30
Total oddd=2.548 ( Princessbet tz)