Kwahiyo unatutukana au unatuona mafala au unatushauri nin mkuu?Yani si bora ungesema Poleni au ukae kimya
Wakuu leo nataka kuona Bahati yangu iko wapi!
Nina Shida sana na 50000 kwa ajili ya nauli kuna majanga yamenisibu sana na Ndani nina 5000 nakubali hii pesa niitume baadaye kutafuta Odds 9 au 10 ili nipate Nauli.
Naamini nitafanikisha hili (Tuko Pamoja) nikimaliza uchambuzi nitaleta hapa mkeka wangu.
"Hard Way the Only Way"
Man city ameshafuzu...na amejihakikishia nafasi ya kwanza..kwenye group...hata akifungwa hii mechi....pili .weekend ana derbyMkuu, leo Man City anacheza, sasa odds kapewa nyingi sana kwenye mkeka bet. Sijajua ataweka kikosi dhaifu kiasi gani, ila naona kama bado wana upepo sana na kikosi chao ni kipana. Odds za UCL izo apo chini.View attachment 645178
Hii odds ya beskitas aiseeeMkuu, leo Man City anacheza, sasa odds kapewa nyingi sana kwenye mkeka bet. Sijajua ataweka kikosi dhaifu kiasi gani, ila naona kama bado wana upepo sana na kikosi chao ni kipana. Odds za UCL izo apo chini.View attachment 645178
Man city ameshafuzu...na amejihakikishia nafasi ya kwanza..kwenye group...hata akifungwa hii mechi....pili .weekend ana derby
Imeniuma sana chief kikapu kimoja kimeninyima laki moja faida ikiwa 70k dah akaunti imebakiwa na 2k tuDuuuuh pole sn Chief ... huwezi amini, kikapu kimoja tu ?!!!!!!!!!!!!! kuna uchawi kwny huu mchezo, sio bure mamaeeeeeeeeeeee
grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
Hii odds ya beskitas aiseee
Mhh inafaa hata Kwa Dc
Haaaa bhas hapo n Leipzig win tuBesiktas ameshafuzu mkuu, apo Leipzig na Porto wanalingana points kwenye ilo kundi na kila mmoja anataka afuzu
ya kula njian je unayo au we unatafuta nauli tu
Nimeangalia Hockey na Football ikabidi nichanganye Hockey na Football nadhani kama mambo yatakuwa vizuri kesho kutwa Safari itaanza (Nimeanza kufua Nguo na kupanga Vitu vyangu)
Tuombeane nipate Nauli.
Nimepata Odd 12 ambazo zina 60 Elfu hivi kwahiyo nitapata humo ya kula pia.ya kula njian je unayo au we unatafuta nauli tu
Imeniuma sana chief kikapu kimoja kimeninyima laki moja faida ikiwa 70k dah akaunti imebakiwa na 2k tu
Ziko poahawa wachina mnawaoneje kwa hizo option?
MI KWANGU NAONAGA JACKPOT KUNA UHUNI FLANI HIV MARA NYINGI KWA MFANO UKAKOSA TIMU MOJA UNAAAMBIWA MPO WENGI UNAPEWA MGAO WA 5000 MARA NYINGI HII INANITOKEA NIKAAMUA KUACHANA NAZO