Nimeangalia Hockey na Football ikabidi nichanganye Hockey na Football nadhani kama mambo yatakuwa vizuri kesho kutwa Safari itaanza (Nimeanza kufua Nguo na kupanga Vitu vyangu)
Tuombeane nipate Nauli.
Nimeangalia Hockey na Football ikabidi nichanganye Hockey na Football nadhani kama mambo yatakuwa vizuri kesho kutwa Safari itaanza (Nimeanza kufua Nguo na kupanga Vitu vyangu)
Tuombeane nipate Nauli.
Yah zinatofautiana Odds Mkuu ila sio sana, japo kuna muda huwa Princess wako vyema.Kumbe Premierbet wako juu kwa odds kuliko Princessbet ... hizo selections mimi zimeniletea odds 10.39 na hapo mechi moja ya IceHockey nimewapa Over 5.5 badala ya Over 4.5 km ulivyoweka.
View attachment 645236
tuna kuombea heri utusue izo zilizo bakiaHabari ya uku wakuu? Leo nimeona niingie umu japo mara nyingi huwa naruka hii thread. Mimi napenda kubet online kwa kutumia mkekabet. Nina tabia ya kubet pia kwenye ile option yao ya jackpot bet ambayo kila wiki kunakua na huo utaratibu kama mara mbili ivi. Team zinakua 13, ukishinda team zote 13 unapiga kwenye 120m ivi, team 12 unapiga 5m, team 11 unapiga 2m na team 10 unapiga 1m. Ila ni lazima ubet team zote 13 na team nyingine tatu za ziada wanazoweka chini kabisa ya mkeka wa jackpot. Team zote 13 za jackpot wanachagua wao na gharama ya kubet kwenye jackpot ni shilingi 1000 kwa kila mkeka wa jackpot utakaotengeneza. Binafsi, naja nimebet kwenye jackpot ila naona mambo sio mabaya. Niliweka mikeka miwili ila naona inaendelea vizuri kwa sababu kwenye mechi 9 zilizochezwa jana, team nane zimeshinda kwenye mikeka yote miwili. Zimebaki team nne nne kwenye kila mkeka, mambo yakienda sawa basi nitamnyoosha mhindi leo usiku. Nitaweka picha apo kuonyesha maendeleo. Vipi wadau, mnaonaje hii jackpot ya mkeka bet?
Nilicho kigundua kwa hawa Princess bet kwenye Direct/Normal win ndio hua wana weka Odds kubwa ila uki ingia ndani kwenye options zaid odds zao ni chacheKumbe Premierbet wako juu kwa odds kuliko Princessbet ... hizo selections mimi zimeniletea odds 10.39 na hapo mechi moja ya IceHockey nimewapa Over 5.5 badala ya Over 4.5 km ulivyoweka.
View attachment 645236
Duh. Hii kitu naanza nayo LeoWakuu, kuna mwenzetu humu Jana katoa ushauri mzuri sana, wakucheza odds 1.5 tu kwa mkeka momja.
Ukiangalia kwa odds hizi 1.5 waweza kuzipata kwa mechi moja au mbili tu.
Sasa, nafikiri ni vizuri tufuate mbinu hii kwa majaribio. Mfano, kama ukicheza kwa 10,000 x 1.5 = 15,000/-. Faida ni 5,000/- hapo.
Aidha, mbinu hii inafaa kwa ote yaani tulio na mitaji kiduchu na wele wenye mitaji mikubwa. Mfano, ukiwa na 50,000/-, tengeneza mikeka yako mitano yenye odds 1.5 kila mmoja bila kurudia timu ktk mikeka hiyo kisha stake kwa 10,000 kwa kila mkeka, mfano:-
Mkeka1, 1.5x10,000=15,000.
Mkeka2, 1.5x10,000=15,000.
Mkeka3, 1.5x10,000=15,000.
Mkeka4, 1.5x10,000=15,000.
Mkeka5, 1.5x10,000=15,000.
Kama mikeka yote ikitiki, utakuwa na faida ya shs 25,000/-. (75,000-50,000).
Faida hii ni kubwa sana kwa mchezo huu. Binafisi, mbinu hii naona inaweza kuwa bora kiasi kuliko kuwa na mkeka wa timu kibao (odds kubwa) alafu uwezekano wa kupata ni mdogo.
Binafisi, naanza kuifanyia majaribio kuanzia Leo.
NB: mrejesho wa mbinu nyingingine ambayo nimewahi kuileta hapa ya kucheza under 2.5 First Half, iko powa. Nimeitumia kwa muda sasa, inatoa sana. Sema udhaifu wake nikwamba, ina odds kiduchu saana kiasi ambacho mpaka upate odds 1.5 tu inakutaka uweke games nyingi. Vinginevyo nayo iko njema kiasi chake. Mwisho, Adui Mkubwa ktk mchezo huu ni tamaa, tukiishinda hiyo twaweza punguza vipigo mfululizo vya kanjibai.
Nawasilisha
Pole sana mkuu, umenikumbusha match ya OkC na SAS juzi yanii quarter zote wameenda vizuri nikajua hapa deal done kuja baada nakuta last quarter kila mmoja kafunga vikapu 14 tu [emoji35] [emoji35]. Nikawa disappointed [emoji26] sana siku yangu ikavurugika [emoji22]Daaaah, aiseee ... huu mchezo unatakiwa uwe na roho ya chuma yani. Halafu una shida ya hela ndo inakutokea hiyo. Hizi timu zingekuwa zinajua kuwa tunaweka hela zetu, wasingekuwa wanafanya us***ge wa namna hii. Quarter nzima unacheza vikapu 14 tu !!!!!
Inakera sn
Daaaah, aiseee ... huu mchezo unatakiwa uwe na roho ya chuma yani. Halafu una shida ya hela ndo inakutokea hiyo. Hizi timu zingekuwa zinajua kuwa tunaweka hela zetu, wasingekuwa wanafanya us***ge wa namna hii. Quarter nzima unacheza vikapu 14 tu !!!!!
Inakera sn
Yeah Mkuu, ngoja tuifanyie majaribio kuanzia Leo...Duh. Hii kitu naanza nayo Leo
All the best! Hapa ukipatia 2 na kuendelea nadhani kuna mgao utakuhusuHabari ya uku wakuu? Leo nimeona niingie umu japo mara nyingi huwa naruka hii thread. Mimi napenda kubet online kwa kutumia mkekabet. Nina tabia ya kubet pia kwenye ile option yao ya jackpot bet ambayo kila wiki kunakua na huo utaratibu kama mara mbili ivi. Team zinakua 13, ukishinda team zote 13 unapiga kwenye 120m ivi, team 12 unapiga 5m, team 11 unapiga 2m na team 10 unapiga 1m. Ila ni lazima ubet team zote 13 na team nyingine tatu za ziada wanazoweka chini kabisa ya mkeka wa jackpot. Team zote 13 za jackpot wanachagua wao na gharama ya kubet kwenye jackpot ni shilingi 1000 kwa kila mkeka wa jackpot utakaotengeneza. Binafsi, naja nimebet kwenye jackpot ila naona mambo sio mabaya. Niliweka mikeka miwili ila naona inaendelea vizuri kwa sababu kwenye mechi 9 zilizochezwa jana, team nane zimeshinda kwenye mikeka yote miwili. Zimebaki team nne nne kwenye kila mkeka, mambo yakienda sawa basi nitamnyoosha mhindi leo usiku. Nitaweka picha apo kuonyesha maendeleo. Vipi wadau, mnaonaje hii jackpot ya mkeka bet?
Inatia hasira sana sana sanaDaaaah, aiseee ... huu mchezo unatakiwa uwe na roho ya chuma yani. Halafu una shida ya hela ndo inakutokea hiyo. Hizi timu zingekuwa zinajua kuwa tunaweka hela zetu, wasingekuwa wanafanya us***ge wa namna hii. Quarter nzima unacheza vikapu 14 tu !!!!!
Inakera sn
kweli mkuu ukizingatia ana derby jumapiliLeo shakhtar anahitaji sare au ashinde kwa hiyo man city alishafuzu anaweza kuzingua usiku wa leo
All the best! Hapa ukipatia 2 na kuendelea nadhani kuna mgao utakuhusu
MI KWANGU NAONAGA JACKPOT KUNA UHUNI FLANI HIV MARA NYINGI KWA MFANO UKAKOSA TIMU MOJA UNAAAMBIWA MPO WENGI UNAPEWA MGAO WA 5000 MARA NYINGI HII INANITOKEA NIKAAMUA KUACHANA NAZO
Kila la kheriHahahah ... all the best mkuu ! ... ngoja nikufuate na 10K Chief.