kazi kazi mkuu mpaka kielewekeNimetia over 1.5 kwa full time
Nachomeka jero miekesho ukiamka na hii pesa watu watanyoa nywele kwa chupa kwa sababu ya kuto kuweka hata jero tu
[emoji23] Hapo itokee umeipa timu DW kisha dakika ya 90 anapigwa utaenda kupima HIV bila kupenda.Ushindi wa kwenye tundu la sindano....
View attachment 645496
kama iyo Email huoni kweny inbox cheki spam mail hua zina ingia uko so click link uliyo tumiwa ili uactivate A/C yakoJamanieee msaada nimesajili premier lkn nikilog in naambiwa account not activated lkn kwenye email yangu sijapata ujumbe wowote kutoka primier
Jamanieee msaada nimesajili premier lkn nikilog in naambiwa account not activated lkn kwenye email yangu sijapata ujumbe wowote kutoka primier
Jamanieee msaada nimesajili premier lkn nikilog in naambiwa account not activated lkn kwenye email yangu sijapata ujumbe wowote kutoka primier
Aisee nimefungua email niliyosajilia yaan sijaona ujumbe wowote kutoka premier bet sijui nifanyeje sasa
Aisee nimefungua email ambayo nimesajili sijaona ujumbe wowote kutoka primier bet
haahahaha ni bora kufa ukiwa unajaribu. siku nimepanga mkeka halafu siku ulipia nikakuta timu 11 zimetiki kati ya 12 za kwenye perfect nilijilaumu mpaka basi.Nachomeka jero mie
Sisi kwetu tunasema bora kulala na mkeka kuliko kulala na jerohaahahaha ni bora kufa ukiwa unajaribu. siku nimepanga mkeka halafu siku ulipia nikakuta timu 11 zimetiki kati ya 12 za kwenye perfect nilijilaumu mpaka basi.
hakikaSisi kwetu tunasema bora kulala na mkeka kuliko kulala na jero
Nimeanza majaribio ya mbinu niliyoileta hapa mapema Leo asbh.Wakuu, kuna mwenzetu humu Jana katoa ushauri mzuri sana, wakucheza odds 1.5 tu kwa mkeka momja.
Ukiangalia kwa odds hizi 1.5 waweza kuzipata kwa mechi moja au mbili tu.
Sasa, nafikiri ni vizuri tufuate mbinu hii kwa majaribio. Mfano, kama ukicheza kwa 10,000 x 1.5 = 15,000/-. Faida ni 5,000/- hapo.
Aidha, mbinu hii inafaa kwa ote yaani tulio na mitaji kiduchu na wele wenye mitaji mikubwa. Mfano, ukiwa na 50,000/-, tengeneza mikeka yako mitano yenye odds 1.5 kila mmoja bila kurudia timu ktk mikeka hiyo kisha stake kwa 10,000 kwa kila mkeka, mfano:-
Mkeka1, 1.5x10,000=15,000.
Mkeka2, 1.5x10,000=15,000.
Mkeka3, 1.5x10,000=15,000.
Mkeka4, 1.5x10,000=15,000.
Mkeka5, 1.5x10,000=15,000.
Kama mikeka yote ikitiki, utakuwa na faida ya shs 25,000/-. (75,000-50,000).
Faida hii ni kubwa sana kwa mchezo huu. Binafisi, mbinu hii naona inaweza kuwa bora kiasi kuliko kuwa na mkeka wa timu kibao (odds kubwa) alafu uwezekano wa kupata ni mdogo.
Binafisi, naanza kuifanyia majaribio kuanzia Leo.
NB: mrejesho wa mbinu nyingingine ambayo nimewahi kuileta hapa ya kucheza under 2.5 First Half, iko powa. Nimeitumia kwa muda sasa, inatoa sana. Sema udhaifu wake nikwamba, ina odds kiduchu saana kiasi ambacho mpaka upate odds 1.5 tu inakutaka uweke games nyingi. Vinginevyo nayo iko njema kiasi chake. Mwisho, Adui Mkubwa ktk mchezo huu ni tamaa, tukiishinda hiyo twaweza punguza vipigo mfululizo vya kanjibai.
Nawasilisha
BET WONSLOT 3
RB Leipzig - Besiktas JK
Yes
1.77
Real Madrid - Borussia Dortmund
Yes
1.47
Odds 2.60
Point of correction, Madrid v Bvb 1X (1.14), Liverpool v Moscow over 2,5 (1.34).Nimeanza majaribio ya mbinu niliyoileta hapa mapema Leo asbh.
Madrid v BvB over 2.5 (1.34)
Liverpool v Moscow 1X (1.14)
Jumla ya odds ni 1.539
Stake ya 10,000/-
bet won kivipi mkuu ?? naona hyo ya leipzing game iko 0-1BET WON
BET WON
mbona kama lepzig v besiktas 0-1BET WON