Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

leo natoka hivi kunako NBA
single
Cleveland over 111.5@1.8
Boston over 105.5@1.8
GSW over 110.5@ 1.93
treble
cleveland over 111..5
boston over 105.5
GSW over 110.5
total odd 6+
 
Daaah yani Neno Ninge kila siku linakuja baada ya kuliwa pesaaa..!! Me naona Betting niwaachie wengine aisee.. Jana besiktas tu alitosha kabisa kuleta mpunga wa Maana sema nadhani sina moyo wa kubet pesa ndefu kabisaa maana hata nkibet hizi ndogo ndogo kwa team hata 3 bado naliwaa tu.. Kwa herii Betting
 
Kweli mkuu tuachie tu cc tuliozoea maan huu mchezo unahitaji moyo mgumu kidogo vinginevyo waweza pasua moyo wako bure mi moyo ushakua sugu na vipigo vya khanji nisipobet nahis kma naumwa hvi yaani but kumbuka tupo kwenye vita ya kiuchumi na huyu mhindi thats why I say "NO RETREAT NO SURRENDER"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…