Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

"Mission Impossible"


duuh Mkuu, mimi nakushukuru maana niliuedit kdg ule mkeka kwa kumpa ushindi Madrid, na mechi moja ya IceHockey niliwapa Over 5.5 badala ya Over 4.5 .. na pia nikaweka mechi moja ya Wachina jana mchana, leo nimelogin kwa account nakutana na 79K ...



Inaonekana IceHockey km mnavyosema it's a real DEAL. Ngoja nianze kuifuatilia ... huenda tunakomaa na Football tunaacha hela huku.
 
Usjali mkuu shukrani sana kwangu imekuwa ngumu.
 
Waoga tutakufa maskini. What if ningekuwa nastake kwa 10k kila quater?
 
best kimbilio kwangu mimi kwa sasa ni HT over 0.5

katika hii option epukana na tamaa ya kuweka timu nyingi

tafuta odds 3 mpk 5 tia mpunga subiria makorokocho
 
best kimbilio kwangu mimi kwa sasa ni HT over 0.5

katika hii option epukana na tamaa ya kuweka timu nyingi

tafuta odds 3 mpk 5 tia mpunga subiria makorokocho
mkuu utashangaa FT 0:0, kanji siyo mtu mzuri mkuu wngu. Mimi hapa nilipo karibia option zote nimezijaribu lakini natoka debe tupu, kuna hii option ya " kuanzia dk 1 hadi dk 10 goal litapatikana? ukiweka x unajikuta dk ya pili tu nyavuuu!
 
kuna hii nyingine ya handicap 2, team unayoiamini kushinda unaiongezea na magoal mawili ya ziada lakini bado inapuyanga. ila naona kinachotukwamisha sana ni mitaji, kwa wenye mitaji unasout hata team kadhaa za handicap 2 ...odd mbili tu unatia kilo moja lazima kanji umkalishe
 
Shukrani sana Mr Ferrenga, hiyo kitu ilinisumbua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…