Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hahahaaaaw mpwaaw sijaweka.mie hizo n pred una uamuzi was kubeba kuziacha ..na paste kama zilivyo sio zanguu
 
Nimekurupuka wapi
We unadhani sijawahi kustake 10K kutafuta hela ndefu na bado mambo yakawa magumu!!..halafu we unadhani kanji ni mjinga aingie kwenye biashara kukupa wewe hela ndefu tu kila siku!!..Btw hii ndo njia yenye asilimia kubwa ya kuwa mshindi kwenye betting,ila kupoteza nako kupo...(kupata chini ya kile ulichostake)

Tunaomba utuwekee betslips ambazo wewe ulipiga hela refu kwa 10k
 
Mkuu moyo wako umeupangaje kwanza maan huku ni zaidi ya chuma aisee mhindi hana utani na business yake sisi wengine mioyo imekuea sugu tunapigwa lakini hatukomi ndo kwanza twapata matumaini mapya kuwa labda leo lakini wapi makofi yako palepale
Nipe somo tu mkuu, it's called living on the edge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…