Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wana Arsenal wenzangu bila kumtoa Wenger pale timu yetu itashuka daraja aisee.
 
Awa premier mbona siwasomi nimebet mechi 3 na zote zimetiki cha ajabu naangalia salio naona mzigo awajaweka narud kuangalia mkeka mechi mbili wameweka matokeo lakin mechi moja hawajaweka na mechi imeshaisha,msaada tafadhali.
 
ni option gani nzuri kwenye basket inayoweza kunipa matokeo chanya !!kama kuna mtu ana idea pls
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…