Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Roma ni mpuuzi sana yaani kashindwa hata over 0.5 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijamaliza mwaka ila Kinga ya mwili imeshuka sana, Uzito umeshuka sana, mapigano ya moyo sio sawa na enzi zile naanza kubet nimekuwa mweusi sana na pia mwenye hasira za karibu. Nimejaribu kuombewa hasira ziishe ila hakuna mafanikio.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] daa mkuu
 
Sijamaliza mwaka ila Kinga ya mwili imeshuka sana, Uzito umeshuka sana, mapigano ya moyo sio sawa na enzi zile naanza kubet nimekuwa mweusi sana na pia mwenye hasira za karibu. Nimejaribu kuombewa hasira ziishe ila hakuna mafanikio.
Duh! Basi chukua likizo fupi ujipange upya, huu mchezo ni hatari zaidi ya madawa ya kulevya
 
Nimejaribu ov 1.5 imegoma mkuu hata timu moja shida yaani najikuta nabadili makampuni nikiamini huko kuna pesa ni kipigo tu, Uwiiiii Mhindi niachie roho yangu pesa chukua.
Hahahahaa mkuu hii kazi ningumu sana na yahitaji uvumilivu wa hali ya juu mi kila nikijaribu kuacha nashindwa maan nikiangalia bet history nakuta mhindi namdai pesa mingi sana hivyo narudi tena sasa hapa nishajiapiza kabisa NO RETREAT NO SURRENDER mpaka pesa zangu zirudi sitakubari kirahisi naamini ipo siku atarudisha zaidi ya alichochukua hizo nimemkopesha tu kwa muda
 
Namdai Mil 5 bora anipe nimwache kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…