Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sijui tutumie mbinu gani maaana hizi timu zazingua kichizi yaani ni zaidi ya uchizi wenyewe

mkuu kuanzia siku ya alhamisi, kama unatumia meridian bet, huwa wanatoa fixture kuanzia friday mpaka monday.

Je kwa mbinu hii mtu huwezi changanya timu angalau ukusanye odds 100 then ukatie 3000 na ukala?..

Hapa huwa naumiza kichwa inawezaekanaje majeshi yote kuanzia friday to sunday yazingue?.. dah

cc Deo Corleone Raimundo MNYISANZU jem_the_great Rockcity native na wengineo kwa maoni zaidi na ushauri.

Huyu jamaa kweli hawezi pangika kwa kila wiki angalau aliwe 300k? dah nina hamu nae kishenzi...
 
Last edited by a moderator:

Gambling haina formula kaka! Unaweza kusuka mkeka hata wa 2 weeks kwa Meridianbet na bado ukachanika tu.

Bila kujalisha ni timu gani inacheza na ipi, ni sawa na kurusha shilingi ije kichwa au mkia.

Ni kujaribu bahati.
 
Gambling haina formula kaka! Unaweza kusuka mkeka hata wa 2 weeks kwa Meridianbet na bado ukachanika tu.

Bila kujalisha ni timu gani inacheza na ipi, ni sawa na kurusha shilingi ije kichwa au mkia.

Ni kujaribu bahati.

mkuu naomba experience kutoka kwako. Je ukiwa unatengeneza odds kuna vitu gani huwa unavizingatia hasa katika choice na selection za timu?

Je ni ligi gani unapenda kuzibetia sana?

Maximum odds wewe huwa unafikisha ngapi ili kujiwekea uhakika wa kula?

Mkuu naomba experience kutoka kwako.

nb: wengine vile vile mnaweza kushusha ideas hapa.
 

Aisee, nikushauri ujaribu kupitia thread hii ikibidi kuanzia page kama ya 400 au 450, soma page zisizopungua 120/150, kuna views kibao za wadau humu.

Nachelea kusema sina uhakika kwa sababu mimi mpira nimestop kucheza, kila nikijaribu formula hii inagoma.

Nimebaki nacheza basket tu, tena NBA, South Korea na Russia, basi.
 

asante sana mkuu. nimepitia fixture za basket nikakuta odds nazo ni ndogo ndogo mkuu. Ntafuatilia nijue zaidi.
 
asante sana mkuu. nimepitia fixture za basket nikakuta odds nazo ni ndogo ndogo mkuu. Ntafuatilia nijue zaidi.

Hii thread ukiisoma vizuri watu wamefunguka sana, tena sana tu! Jipe hata weekend usome kuanzia page namba 300 mpaka hii 512, utaelewa mbinu zote na kafanikio yake, maana watu wanatoa mrejesho humu.
 
Mm natumia principle hii..kwanza inabd ujue ligue Kama tano au sita tofaut...then chagua wababe wako ambao unajua sio rahic kupoteza mechi mfn..barca,bayern,juve,real Madrid,Chelsea..ukiweka mkeka jitahd timu zisizd nne kupunguza risk ya kuloose...unatenga zako elfu kumi au ishirn unaweka..what I believe hiz team haziwez zikadraw au kuloose twice.. naamin lazima kuna some profit utakuwa una gain kuliko kujaza timu 10 au 12 unaishia kuambulia patupu..huu ndo mfumo wangu mm cc.Excel
 
leo nimeweka man u win pamoja na galatasaray win .vipi wadau?
 
ahsante mtoto wa nzi,sasa ngoja kwanza niitafte hiyo elf 5 maana muhindi sio mtu mzuri...kanipuna hadi elacya vocha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…