Pole sanaLazio wananilaza na njaa..ngoja tuone kama maajabu yanaweza yakatokea.
Nliweka nkijiamini kabisa maana kitakwimu Lyoni anapendaga kumaliza mechi kipindi cha kwanza.hiyo ni over 1.5 half time ingekuwa over 2.5 odd zingefika 3+
Tuko pamoja mkuu.Mkuu ujue nakukubali sana.
Jumamosi nilipigwa 200k ya mshikaji wangu lakini naona leo nimeirudisha kesho nahitaji odds 1.80 tu niweke mzigo.
Lazio kafa 3 au macho yangView attachment 649110usiku mwema jamani.
Ntajaribu kufanya hivo.nimekuelewa mkuu, but na wewe pia uwe unajitahidi unatupia odds hum
Pole sana mkuu.View attachment 649110usiku mwema jamani.
Kafa 3 mkuuLazio kafa 3 au macho yang
Yanaona vbaya
Yan na odd yake ya 1.4 mjingaKafa 3 mkuu
Odd 10 nyingi sana mkuu.DeepPond kesho odd kumi zinapatikana...??
itakuwa freshHebu ngoja nipitie fixture za kesho nione kama kuna timu zipi na ni ligi zipi zinatoa Matokeo ya kueleweka
Hongera sanamCHEZA wamenikaribisha vyema inaonekana bahati yangu ipo huku
mkeka mrefu ni risk kubwa ya kukosa uko sahihi kabisa MkuuOdd 10 nyingi sana mkuu.
Zinahitaji mlolongo mrefu sana wa mechi ambapo unaongeza risk ya kukosa
Fanya Odd 4 mpaka 4.5
Hizo ni znapatikana kwa mechi 4 mpaka 5.
Afu unatia mpunga kuanzia elfu 10 na kuendelea.
Ukiweka buku 10 ukala 40 au 45 au laki ukala laki NNE.
inatosha kabisa kuliko kuyasaka mamilioni kwa mlolongo mrefu.