Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Afu mkuu unatumia bookmarker Yupi.
Maana huyu wangu receipt anazoprint hata sizielewi.

Mechi 2 tu ishajaa screen nzima, kuscreenshot inakua tabu sana.
princess bet but natumia computer, ila kwa simu ukishafungua site yao, bonyeza option kwenye browser ya simu yako then request to desktop site. mfumo mzima wa site yao itabadilika.
 
Siku mbaya hii waarabu wamebadilika wametupiana bao nyingi sana handicap zimekataa kabisa
 
Lazio vs cittadella 2:1 correct score
HT OV 0,5
FT OV 1,5/2,5
HME WIN
 
Duh, Al Nasr mjinga sana wewe.
Umeniyima hii ela dakika za mwisho.
 
Siku mbaya hii waarabu wamebadilika wametupiana bao nyingi sana handicap zimekataa kabisa
Leo sijui wameamkaje.
Hawaniangushagi ila leo waneniangusha.

Bora hata ya waturuki leo walkua vzur., kidg washanipa kifuta jasho kwny single bet

Mara Mia majeshi ningeamishia Turkey leo.
 
muda mwingine hawa waarabu n kuwapa ov25 mkuu acha wao wafungane mpk kieleweke lakin hapo hawatoki
Yaaaniii m haoo sigusi zaidi ya ov 2,5 tens naweka naenda kulalaaa kamaniko home alarm ikiita msgyapesa inaita naenda pata kmotoo mubashara narudi kulala na shemejiyenu
 
Na wasi wasi waarabu leo hii wamepiga dili na wahindi na ukizingatia zaidi hawa wote ni wafanyabiashara
 
Na wasi wasi waarabu leo hii wamepiga dili na wahindi na ukizingatia zaidi hawa wote ni wafanyabiashara
Inawezekana Yale Yale ya match fixing ligi kuu Italy serial A yamehamia kwa waarabu
 
Leo sijui wameamkaje.
Hawaniangushagi ila leo waneniangusha.

Bora hata ya waturuki leo walkua vzur., kidg washanipa kifuta jasho kwny single bet

Mara Mia majeshi ningeamishia Turkey leo.
Si mbaya lakini sisi ambao tushaizatiti mioyo katika hii sekta mioyo huwa imejaa matumaini tu haikati tamaa. Sasa mkuu fanya ujitahidi na corners naona hao wadachi wameshatupa kona za kutosha tu ilikua hela nzuri tu
 
Haya madude ndiyo yanatutia uchizi
Hayo madude Nlkuaga member sana miaka ya nyuma.

Sikuhz sio priority kabisa kwangu.
Nmeliwa sana huko kwny makokoro mazito ya 3 way kama hayo.

Mkeka wangu ni mwiko kuzidi mechi 5.

Siku moja moja ikokea ndo ntafika mech 6 single bet slip.
 
Inawezekana Yale Yale ya match fixing ligi kuu Italy serial A yamehamia kwa waarabu
Mpia umebadilika tu mkuu

Kuna timu Holland kila Sikh zinatoaga ov 2,5

Sikh zikiamua zinafungana 0-0. Hapo ndio unaelewa kumbeee
 
Kam hujakata tamaa let's try this....by lordjozee/mwanampotevu
Ajax ov1.5 u can put 2.5 over
Lazio vs citadella gg
The new saint vs lunduno* ov gg

Saa saba tupeane updates
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…