Ha ha ha...Yaaaniii m haoo sigusi zaidi ya ov 2,5 tens naweka naenda kulalaaa kamaniko home alarm ikiita msgyapesa inaita naenda pata kmotoo mubashara narudi kulala na shemejiyenu
Corners inapendezaga sana weekend na nakulaga sana.Si mbaya lakini sisi ambao tushaizatiti mioyo katika hii sekta mioyo huwa imejaa matumaini tu haikati tamaa. Sasa mkuu fanya ujitahidi na corners naona hao wadachi wameshatupa kona za kutosha tu ilikua hela nzuri tu
Hatar sana mkuuMpia umebadilika tu mkuu
Kuna timu Holland kila Sikh zinatoaga ov 2,5
Sikh zikiamua zinafungana 0-0. Hapo ndio unaelewa kumbeee
Let me try itKam hujakata tamaa let's try this....by lordjozee/mwanampotevu
Ajax ov1.5 u can put 2.5 over
Lazio vs citadella gg
The new saint vs lunduno* ov gg
Saa saba tupeane updates
Never giv upHa ha ha...
Wasaudia Arabia na wamisri leo wamenipiga jihadi ya kipalestina.
premier bet kaanza uhuni ile ligi pendwa ya canada tarehe 17 itakuwepo ila nimetembelea naona kama hajaiweka vileDah Nimepata ahueni kidogo hata nirudishe 1 ya 5000000 ya pesa ambazo kanji kanipiga.
Baada ya soka kuwa na utata leo nikaamua kuwatembelea Warusi kwenye Hockey nikachagua timu 7 na kuzipa Over 4.5 goal timu 6 zimetoa tayari na timu moja ina Magoli 4 nasubiri moja nipate hata kuvuta mtaji upya, Nasubiri tu Bao moja mhindi anipe kidogo changu ili usiku Niwatafute wa Marekani na Canada huwa wako vizuri kwenye Hockey.
Soka litaniua nitawekeza zaidi kwenye Hockey kwa sasa.
Ungeziwea haaapà nawenzio waleeM.bet. both team will score[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] awa jamaaa wananipa hela za bure kla siku
Hii App GaniWakuu hali sio shwari kabisa.
Waarabu wananisaliti huko Egypt
Unatafuta majanga mkuu, sikushauri virtual betwakuu ni kampuni gani ya kubet yenye option ya virtual, tofauti na princess bet cz prinss server error sana hadi inakera
Princess betMsaada please!!
Jamani kampuni IPI ni mzuri kubetia? Mkeka unazingua,sportpesa kujisajili kindumbwendumbwe msg ya pincode ctumiwi,niende wap tena wadau
Baada ya leo MCHANA na jana viwanja kuwaka moto KWA OVER 2.515-12-17
Levante ht X
Paris fc gg
Oostende gg n ov 1,5
Sydney fc win n ov 1,5
*INGOD WE TRUST TIPS*
ACCA II
Morrow tips 92,6%
Sevilla gg n ov 1,5
Monaco gg n ov 1,5
Fogia ov 2,5(ital b)
Clemonte gg (France b)
*INGODWETRUST*