Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Naona kama maigizo hivi kila siku kipigo dah nataka kubadili hata Account huwenda ina mkosi.Kama ulishawahi skia losing streak ndo hiyo mkuu,kila ukijitahidi kurudisha unaliwa ukirudisha basi ela inalipa madeni tu..
Umechanika bila shakaLeicester City dole la kati lina mhusu maamaeeeeee!
MPE na ov 1,5/na ggSijui atashinda inter
Asante sana mkuu hata kabla ya half time naona inter kamaliza mchezo wa cornerKuna game ya inter kule seria A. Wape Over 9.5 FT
Kuna game ya Leicester kule EPL, Wape Over 4.5 First half
Kuna game ya chelsea kule EPL, Wape over 8.5 FT
BAADA YA MECHI USISAHAU KULETA MEREJESHO.
mkuu kwa sasa naona over na corner naona ndy habar ya weekend hizo zingine myeyusho
Ubakifikiwe na wee piaMkuu DeepPond asante Kwa hii helaa,