Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wachache sn wanang'amua hilo jambo.

Wataendelea kumtajirisha sn tu Muhindi.

Sisi wengine hii betting kwetu sio burudani wala game tena.

ITS A SERIOUS BUSSINESS

WE ARE REALLY SERIOUS ON MAKING MONEY.
 
Ebu ngoja nianze kuokota kwako nisake odd 3 per day, maana ata hizo odd 3 kuzipata ni mzikii
 
We mkuu una hudumiwa na ka agent ka dem daah...mm et li men[/QUOTE]
me mwenyewe nawashangaa ujue. tatizo wanata odd 200+. si kwamba ni vibaya kuweka mkeka wa odd 200. but usiuzingatie sana. inatakiwa unakuwa na mikeka ya odd 2, au 3+ ambayo atleast ni uhakika kwa asilimia 90%. hapo huu mchezo utaufurahia harafu usiwe sirias kupitiliza
 
mkuu unavyoona hivyo usidhani mikeka ya pesa ndefu sichezi nabeti hadi 200k but pia mikeka ya pesa ndogo lazima niweke
 
Humu nimeanza kujifunza kitu.. Kwa cku chukua mkeka anayoweka Deeppond chagua game 2, ya troublemaker game 2, koncho 2, buddy 2, Joaquem 2 etc.
Ukichanga karata vzuri hukosi odd 10+ za uhakika.
mfano kuna yule alituomba tips moja moja me nilimpa yangu odd 1.73 na imetiki sijui kwa wengine but angeleta mrejesho ingekuwa bomba.
 
We mkuu una hudumiwa na ka agent ka dem daah...mm et li men
me mwenyewe nawashangaa ujue. tatizo wanata odd 200+. si kwamba ni vibaya kuweka mkeka wa odd 200. but usiuzingatie sana. inatakiwa unakuwa na mikeka ya odd 2, au 3+ ambayo atleast ni uhakika kwa asilimia 90%. hapo huu mchezo utaufurahia harafu usiwe sirias kupitiliza[/QUOTE]
That's true mkuu.
 
Huyu Inter Milan leo hajatuacha salama wengi wetu mamaeee ... Montpellier jembe langu nalo leo hoii ... doooh !


 
mfano kuna yule alituomba tips moja moja me nilimpa yangu odd 1.73 na imetiki sijui kwa wengine but angeleta mrejesho ingekuwa bomba.
Huyo jamaa sjamuelewa kabisa.

Mm mwnyw nlimpa tip 2 za uhakika na zimetick.

Ila jamaa baada ya kubeba tips ndo kapotea moja kw moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…