NguoYaSikuKuu
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 697
- 1,113
Legia Warsaw ndo wakukosa draw nyumbani?? Daah asante mkuuuPole sn mkuu
Usjali ila usikate tamaa.Legia Warsaw ndo wakukosa draw nyumbani?? Daah asante mkuuu
Ha ha ha....Dah yaani hii mara ya tatu naamka mwenyewe bila alarm saa 9 or kumi kufatilia au kubet NBA na hapo nimelala saa 7 au 6.naona ndio ishakua kazi rasmi sasa.
NBA na mimi inaniamsha mapema sana labda kama nimelala nimeweka vitu vikali hapo ninalala hadi asubuhiDah yaani hii mara ya tatu naamka mwenyewe bila alarm saa 9 or kumi kufatilia au kubet NBA na hapo nimelala saa 7 au 6.naona ndio ishakua kazi rasmi sasa.
Tembelea jukwaa mara kw maraMkuu badae ukiweka mkeka naomba nitag
Odds 3 nyingi sana kupata mida hii mkuu.Wakuu baada ya jana kamtaji kangu kuisha leo asubuhi tumechanga pesa ya luku hapa 30k ila kabla cjanunua umeme naombeni odds walau 3 za uhakika nitafute mtaji.
Dah nahis uwoga wa kuchagua coz nahis ntaliwa tu
cc DeepPond et al
hakuna kitu kinachoitwa odd za uhakika 100% but kuna walau zinazo aminika kwa 90%Wakuu baada ya jana kamtaji kangu kuisha leo asubuhi tumechanga pesa ya luku hapa 30k ila kabla cjanunua umeme naombeni odds walau 3 za uhakika nitafute mtaji.
Dah nahis uwoga wa kuchagua coz nahis ntaliwa tu
cc DeepPond et al
Well saidhakuna kitu kinachoitwa odd za uhakika 100% but kuna walau zinazo aminika kwa 90%
Sawa mkuu, kama utazipata hata badaye nitag nijaribu tena maana cyo kwa vipigo hivi.hakuna kitu kinachoitwa odd za uhakika 100% but kuna walau zinazo aminika kwa 90%
Mkuu, Be careful with AEK ATHENS
Samahani mkuu unatumia kampuni ya bet gani?
goli tat zinaweza washinda kweli. halafu hao ni under 20Mkuu, Be careful with AEK ATHENS
princess betSamahani mkuu unatumia kampuni ya bet gani?
ODDS 4Houston over 217.5 points
Waitakere 12
Nicks win
odds 4