Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wadau Jana nimweka pesa katika wallet yangu kisha nikabet lakin mpaka sasa naandikiwa winner payment pending na pesa yote katika wallet wameshakata
 
Update.......
BET LOST

Waitekera mpuuzi sana,

Wewe peke ake ako kwny mkeka umeninyima ela ya supu.

DAH,
Wewe Waitakere NDUGU YANGU.

HUONI HATA AIBU, Kuninyima hii ela?

Ila Haina shida, Mapambano na Kanji yanaendelea.

So soon kanji utanirudishia hii ela.

na Faini juu.

DAWA YAKO INACHEMKA, SO SOON JIANDAE KWA DOSAGE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…