Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,445
- Thread starter
-
- #1,021
Hongera zako ila ngoja siku nijaribu mauwaji timu 3 tu tena draw!Leo mapema tu nishafanya yangu licha ya mtandao kuzingua.. Nishapata wa mwezi mzima.
Leo majanga mikeka mi3 ,mmoja chali miwili imekuwa void games zilishaanza!
tengeneza wa kulalia mpe lile,lazio na porto .
Fuata Asali ule Nyuki(Manundu)
B.Munich,Juve,valencia, Lazio,A madrid.
Leo nimempiga kanjibah mara 2 ngoja nifanye hattrick
Kuna kamchezo kachafu kameingia kwenye soka!!Atl madrid anapigwa kama mtoto hapa!!
Ni half time lakini, wanweza kugeuza kibao kipindi cha pili.
huyu atletico nilimwepuka mapemaaa
Nimemkataa steua burcelst
parma na macabi haifa
nimempa fernebahce imekuja Tsh.386,590/= kwa buku,
ombeeni ukubali ntawatupia vocha
Draw no bet,,,
nimemkataa steua burcelst
parma na macabi haifa
nimempa fernebahce imekuja tsh.386,590/= kwa buku,
ombeeni ukubali ntawatupia vocha