Umepita mule2 2mepishana kdg 2Kokoro mubashara.....
View attachment 652981
***** kauwa kweli..Huu umechanika, hakuna namna ngoja nisuke mwingine mapema kabisa.
View attachment 652983
Mkuu nifundishe hii Handicap sijawahi kucheza.Mara ya mwisho kubeti normali ni ile uefa ya dortmund vs madrid ambayo madrid alipewa 2.3 kama hivi ndo nikaipa madrid.sichezagi normal hata iweje na double chance nacheza handicap +2..
Hapana mkuu timu ya mwisho sijaiweka kabisa na sijaongeza chochoteAcha tamaa mkuu
Unapatia team goli kabla mechi haijachezwa, yaani unaitanguliza team uwanjani na goli zake.Mkuu nifundishe hii Handicap sijawahi kucheza.
Nakupa hii ..
A-Junioren-Bundesliga South/Southwest
Bayern Munich vs FC Augsburg
Tip: over 2.5 goal
Odd: 1.45 premierbet
Hongera sn mkuuFT
Bayern Munich 2 vs FC Augsburg 2
Bet won
Cc: @UzaziwaMpango
Hapo sawa.Hapana mkuu timu ya mwisho sijaiweka kabisa na sijaongeza chochote
Huu umechanika, hakuna namna ngoja nisuke mwingine mapema kabisa.
View attachment 652983