Wazee wenzangu kwenye Basket kuna ligi ya Philippine, inaitwa Commissions Cup, game zake zinachezwa saa 5:15 (tano) asubuhi na saa 8:00 (nane) mchana, hizi mechi nimezisoma na kuzielewa vizuri.
Game ni dakika 12 kwa quarter na ni quarter 4, jamaa wanafunga sana sana lakini mara nyingi unakuta total points wanapewa 176; wao wanaenda mpaka 190-200.
Kati ya game 5, 4 zinakuwa over, so unatia mpunga mwanzoni tu game haijaanza unasubiri zako kwenda kuvuta hela game ikiisha.
Kesho game hakuna mapaka Jumanne, nitawakumbusha kuangalia odds zikishawekwa, pia baada ya mechi tutapeana mrejesho, nataka tuone kama wote tukifikia conclusion moja basi tufikirie kuwekeza huko.
Pia ligi ya Korea Kusini inakuwa na under nyingi sana, kati ya kumi utakuwa na under 7 on average.
Angalieni stats flashscore.com tupeane mawazo zaidi.