Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

warriors fc gg
iraklis gg
chonburi gg
shirak gg
total points 7
 
atalanta goal both halves
nantes 12
werder bremen 12
total point 3.4
 
Supersport ya South Africa alichonifanyia leo........ni unforgetable😢😢
 
Wazee wenzangu kwenye Basket kuna ligi ya Philippine, inaitwa Commissions Cup, game zake zinachezwa saa 5:15 (tano) asubuhi na saa 8:00 (nane) mchana, hizi mechi nimezisoma na kuzielewa vizuri.

Game ni dakika 12 kwa quarter na ni quarter 4, jamaa wanafunga sana sana lakini mara nyingi unakuta total points wanapewa 176; wao wanaenda mpaka 190-200.

Kati ya game 5, 4 zinakuwa over, so unatia mpunga mwanzoni tu game haijaanza unasubiri zako kwenda kuvuta hela game ikiisha.

Kesho game hakuna mapaka Jumanne, nitawakumbusha kuangalia odds zikishawekwa, pia baada ya mechi tutapeana mrejesho, nataka tuone kama wote tukifikia conclusion moja basi tufikirie kuwekeza huko.

Pia ligi ya Korea Kusini inakuwa na under nyingi sana, kati ya kumi utakuwa na under 7 on average.

Angalieni stats flashscore.com tupeane mawazo zaidi.
 
NkyaH, Mtoto wa nzi, etc: Leo OKC kapewa odd ya 1.6 kumfunga Lakers, hii imekaaje? Maana naona kama ni odd kubwa kwa OKC.

Najua KD hayupo lakini waliobaki wako vizuri pia, kuna taarifa zozote za majeruhi?
 
Last edited by a moderator:

Natia laki liwalo na liwe.. Asante kwa taharifa mkuu wangu
 
Last edited by a moderator:
Wakuu Naomba Mnisaidie Jinsi ya Ku-deposit kwenye Iplay8casino Maana huku kuna mwanga,Angalau....!!!!
 
Pia naomba kueleweshwa kuhusu under inakuaje na over inakuaje nicje pigwa manundu,
 
Napumzika officially for one month,muhindi ashanipa za chembe xana kila mara mkeka wa kilo saba na kuendelea timu moja inaharibu du,msijali tutaendelea kushauriana hata kama nitakuwa mapumzikoni.
 
Napumzika officially for one month,muhindi ashanipa za chembe xana kila mara mkeka wa kilo saba na kuendelea timu moja inaharibu du,msijali tutaendelea kushauriana hata kama nitakuwa mapumzikoni.

hamna kumwachia mjinga huyu.. jipange rudi tena.. mi mwenyewe nlikua nafkiria kupumzika naona itakua ujinga. ....wiki hii nimekosea kasoro mechi moja mikeka leo wa sita...huyu nnae simeachi
 
Attachments

  • 1425239819588.jpg
    1425239819588.jpg
    22 KB · Views: 188
Jumanne nayo siku ngoja nipumzike na hizi 4000 zilizobakia. Najua nitampiga jumanne leo Atlet kaharibu
 
najihisi nina mkosi,kila siku sili tu kisa timu moja au mbili kumamae
 
Back
Top Bottom