Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mzigooohuooo ukotoka mchanaaaa lost moja tu zingine green bado ynataka mikeka ya watu ya non jamani
 
Ushauri mzuri sana huu.. tena aanze na odd mbili mpaka tatu
1000 x 3= 3000
Kesho tena odd mbili
1500 x 3 = 4500
Siku ya tatu
2000 x 2 =4000
Baada ya siku tatu anakuwa na mtaji wa buku ten...

NB: usiweke stake pesa yote utakayokuwa umeshinda, chezea faida kuepusha kupoteza mtaji wote...
 
asante sana chief wangu
 
pension kuna watu wengine humu ndani wa ajabuajabu sana,yaani wao kila muda kulalamika tu,binafsi nathamini sana michango ya akina DeepPond na @Mr.wise ingawa sijawahi itumia yote ipasavyo,huanza kudai mikeka,ukiwapa hawaitumii,usipowapa mikeka ukaja na bet won,utaona povu linakotokea sasa eti ulipost mara ya kwanza? haya,jana bwana @Mr.wise alipost mikeka mingi sana na ikawa won hadi lile kokoro la odds 24 likawa won, @swali kwenu,ni nani sasa alilifuata lile kokoro? kinyume chake angekuja kuquate won bila kupost hapo awali ungeona mapovu yake sasa.Ebu tuweni @waungwana
 
MZIGOOOO HUOOOO
NOT FOR SALE BURE SAMBAZA KWA MAGROUP WATU WAFURAHI TUKUTANE MRJESHO..SIJAAMALIZA CONTAINER INAFUNGULIWABADO
 
Mwambieni khanji mmekosea njiaaa mwaka was kiliooo huui
 
Mizigooo yaleooohiooo juuu

Tusubiri makanikia ya wanaigeria tunheze na akilizetu
 
  1. [12/29, 11:40] ‪+234 811 921 5333‬: Daily over 2.5
    ------------------

    69GLN23


    8705 W-League
    Adelaide United - Sydney FC
    Over(2.5) 1.35
    8706 W-League
    Perth Glory - Brisbane Roar
    Over(2.5) 1.52

    Odd2.05
    [12/29, 11:40] ‪+234 811 921 5333‬: Daily under 2.5
    -------------------

    69GLYMD


    1402 Pro League
    Peykan - Pars Jonoubi Jam Bushehr
    Under(2.5) 1.34
    1405 Pro League
    Sanat Naft Abadan FC - Saipa Karadj
    Under(2.5) 1.38
    1280 Gulf Cup
    Qatar - Bahrain
    Under(2.5) 1.36

    Odd2.51
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…