Poa MkuuTayariiii mkuu
MwanadadaJinsia yako ni....?
Kushinda hii jackpot hakuna uzoefu ni bahati tu trust me..we huoni tokea imewekwa hakuna aliyeweza hata kuisogelea.Wadau wiki iliyopita kuna jackpot moja ya sportpesa nilipga game 11 xaxa wiki hii nimechafukwa nataka kupga zote ebu tubadilishaneni uzoefu hapa ujue nimezipania
Mkuu leo wachina vp kwenye BbChief pole pole ndio mwendo ... anza na hiyo Buku uliyonayo utafute odds 5, then odds 4, then 3 utakuwa na 60K ... ushafikia level za kuweka 50K na kutafuta odds 2 hadi 2.5 ...
Ukitaka kwa buku hilo upate 100K haitakuwa rahisi. Huwa inatokea mara chache sn.
Mkuu leo wachina vp kwenye Bb
Sawa coz kushinda nako game 13 sio mchezo ,,,kuhusu bahati nako siamini mie naamini katika kuchambua na kuona nani anaweza kushindaKushinda hii jackpot hakuna uzoefu ni bahati tu trust me..we huoni tokea imewekwa hakuna aliyeweza hata kuisogelea.
Mkuu ni sawa kwa wewe unavoamini..ila kupatia gemu 13 zenye odds za 2.0+ kwa normal win usifanye masihara.Sawa coz kushinda nako game 13 sio mchezo ,,,kuhusu bahati nako siamini mie naamini katika kuchambua na kuona nani anaweza kushinda
Hao wengine vp maana naona wapo watatuNimewaona hawa ...
Tianjin Rong Gang - Shanxi Dragons
Over 225.5 points
1.50
Odds: 1.5
Kuna wengine wanaitwa Zhejiang Guangsha lkn naona Premierbet & Princessbet kote hawajawapa Over/Under ... nlitaka niwape Over 120.5
Mwenye 1000 tigopesa anisaidie ya mtaji nitafute odds mbili za uhakika namrudishia hata mpaka ukichanika nitamrudishia huku nilipo no tigopesa
kazi ya Mungu haina makosa ndo uumbaji wa Mungu huo.HABARI ZA MCHANA WAKUU.
Kiukweli
Honestly, from my heart.
nmesikitika sana kwa kilichosemwa na ndugu yangu Godzilla na wengine wachache humu ndani.
Mtu anasema kila mara huwa napost mikeka ambayo haijalipiwa,
Afu nawadanganya watu humu ndani.
Eti inawezekana, hata huwa sibet.
Bad enough wanasema mm ni agent wa Muhindi,
Worse enough Huyu godzilla ndo kila mara anaomba ushaur wangu,
Pia na mikeka yangu kila mara anakula pesa kwa kucopy mikeka yangu.
Dah, IMENIUMA SANA ndugu zangu
View attachment 662571
Hao wengine vp maana naona wapo watatu
Kaka Nadhan unaelewa ni jinsi Gani baadhi yetu tunakuamini hata tunakuja PM kuomba mwongozo. Ukitaka kuishi kwa tabu kubali kumfurahisha kila mtu. Nadhani kila siku utakua unafadhaika. Hembu waache waendelee kuongea halafu sisi tunaojua Mchango Wako tuendelee kufanya yetu. Itafika wakati tutajiengua humu nakuwa tunafanya kivingine kwa Sasa endelea kuwa mvumilivu. Somo ambalo nadhani nilifaulu zaidi kule nilikokwambia awali.HABARI ZA MCHANA WAKUU.
Kiukweli
Honestly, from my heart.
nmesikitika sana kwa kilichosemwa na ndugu yangu Godzilla na wengine wachache humu ndani.
Mtu anasema kila mara huwa napost mikeka ambayo haijalipiwa,
Afu nawadanganya watu humu ndani.
Eti inawezekana, hata huwa sibet.
Bad enough wanasema mm ni agent wa Muhindi,
Worse enough Huyu godzilla ndo kila mara anaomba ushaur wangu,
Pia na mikeka yangu kila mara anakula pesa kwa kucopy mikeka yangu.
Dah, IMENIUMA SANA ndugu zangu
View attachment 662571
mkuu achana nao hao ma ajenti wa muhindi baada ya hayo nikupongeze kwa huo mzigo unao onekana kwenye account yako si mchezo.HABARI ZA MCHANA WAKUU.
Kiukweli
Honestly, from my heart.
nmesikitika sana kwa kilichosemwa na ndugu yangu Godzilla na wengine wachache humu ndani.
Mtu anasema kila mara huwa napost mikeka ambayo haijalipiwa,
Afu nawadanganya watu humu ndani.
Eti inawezekana, hata huwa sibet.
Bad enough wanasema mm ni agent wa Muhindi,
Worse enough Huyu godzilla ndo kila mara anaomba ushaur wangu,
Pia na mikeka yangu kila mara anakula pesa kwa kucopy mikeka yangu.
Dah, IMENIUMA SANA ndugu zangu
View attachment 662571
Mkuu tulisongeshe hili gurudumu....Achana na Masikini wa fikra..Wala usiwatilie maanani..HABARI ZA MCHANA WAKUU.