Nakushauri utumie Premierbet, nimecheza kampuni nyingi ila uku nimekaaa naona wana option nyingi na mechi nyingihumu wengi wanatumiakampuni gani kubet?
chief leo hujatupia?Mimi binafsi ndio maana sipendi kuchangia majibizano yasio na maana
Hiko Hivi:
Betting ipo kama wewe (Mchezaji unavyoichukulia), maana yake ni hii, ukiichukulia kama mchezo wa kukufurahisha basi ndivyo itakavyokua na ukiichukulia kama kazi kwako ama biashara kwako ndipo itakavyokua, hapo unaweza kuta una mil hadi 5 na kila siku unazicheza kwa odds 2 au 1.5 nk.
Sasa usilazimishe vile unavyochukulia kimtazamo wako ama vile jinsi inavyokufaidisha iwe sawa na mwenzio..Its crazy aisee iache iwe ilivyo tu, kama wewe kwako unajifurahisha mwache anayeifanya biashara na kupata faida aendelee kufanya yake
Asanteni nyote (wafanyabiashara/Wawekezaji na wanaojifurahisha)
Sina cha kuongeza kaka we jembe na una mtazamo positive hii kwangu ni kama biashara Leo napata kesho nakosa lkn pia si tu biashara Bali ni biashara ninayoipenda yaani ni mtu was soccer pia nabet kwa ninachokijua mfano for real jana niliweka multibet ya mech normal mechi 5 za odd 2.6+ kwa 2000 nkashinda tsh= 200000 yangu chap ,,,nmekuelew upo on point mpaka unakera big up mkuuMimi binafsi ndio maana sipendi kuchangia majibizano yasio na maana
Hiko Hivi:
Betting ipo kama wewe (Mchezaji unavyoichukulia), maana yake ni hii, ukiichukulia kama mchezo wa kukufurahisha basi ndivyo itakavyokua na ukiichukulia kama kazi kwako ama biashara kwako ndipo itakavyokua, hapo unaweza kuta una mil hadi 5 na kila siku unazicheza kwa odds 2 au 1.5 nk.
Sasa usilazimishe vile unavyochukulia kimtazamo wako ama vile jinsi inavyokufaidisha iwe sawa na mwenzio..Its crazy aisee iache iwe ilivyo tu, kama wewe kwako unajifurahisha mwache anayeifanya biashara na kupata faida aendelee kufanya yake
Asanteni nyote (wafanyabiashara/Wawekezaji na wanaojifurahisha)
bosi naomba unielekeze hii kitu maana yake nini? Home to win either half?Nakushauri utumie Premierbet, nimecheza kampuni nyingi ila uku nimekaaa naona wana option nyingi na mechi nyingi
asante mkuu kwa ushauriNakushauri utumie Premierbet, nimecheza kampuni nyingi ila uku nimekaaa naona wana option nyingi na mechi nyingi
Yan mkuu umeenda kama daah bas tuukazi ya Mungu haina makosa ndo uumbaji wa Mungu huo.
chief nimekosea kucopy hallow nimechukua hii Melbourne City FC v Wellington Phoenix FC DOUBLE CHANCE X2 nahisi kama nishapoteza mkeka lakini kwa Imani hakuna kinachoshindikana
sijakupata mkuuYan mkuu umeenda kama daah bas tuu
hii je inafaa kuwapa under ama over
Mkuu usipanic huyu Godzila anapaswa kuomba msamaha kama uthibitisho ashaupata......mapambano yaendelee tuachane na hawa wapuuzi kina Godzilla na wenzakeA
ACHANAAA NA MAAJENTI WA SHETANI HUMU NDANI USILETE TENA ...WANAKUWA KAMA AWAJASOMA NANI KAKWAMBIA KUNA BABAZAOO HUMU wANAGAWA PESA za BURE THY HAVE TO FIGHT FOR their DESTINY allah
ARSENAL (2.5 over)
Point 1.70 ukizidisha mara laki unapata kama 170,000
Wale wazee wasingle beti
Hela hiyo
Ukiliwa nidai na onesha mkeka pia ukilipa
Mkuu hizi ni Handicap au maana sijaelewa kidogo*ENGLISH ALERT ⚠ *
69G5HQS
2 ODD
Code 4442 Date 29/12/2017 20:45
Event Millwall - QPR
Live/Prematch Normale Selection (2:0) 1 H
Code 4443 Date 29/12/2017 20:45
Event Doncaster - Rochdale
Live/Prematch Normale Selection (1:0) 1 H
Code 4444 Date 29/12/2017 20:45
Event Wigan - Charlton
Live/Prematch Normale Selection 1
Code 6458 Date 29/12/2017 20:45
Event Morecambe - Yeovil Town
Live/Prematch Normale Selection (0:2) 2 H
[HASHTAG]#BELIEVE[/HASHTAG]
Naomba umupuuze tu ndugu yangu,ukweli humuweka mtu huru.Huyu ametumwa sio bure.HABARI ZA MCHANA WAKUU.
Kiukweli
Honestly, from my heart.
nmesikitika sana kwa kilichosemwa na ndugu yangu Godzilla na wengine wachache humu ndani.
Mtu anasema kila mara huwa napost mikeka ambayo haijalipiwa,
Afu nawadanganya watu humu ndani.
Eti inawezekana, hata huwa sibet.
Bad enough wanasema mm ni agent wa Muhindi,
Worse enough Huyu godzilla ndo kila mara anaomba ushaur wangu,
Pia na mikeka yangu kila mara anakula pesa kwa kucopy mikeka yangu.
Dah, IMENIUMA SANA ndugu zangu
View attachment 662571
Nilishatupiachief leo hujatupia?