Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

nimeiona chief, au kuna mingine zaidi ya hii?
 
Deeppond hongeraaaa mnoooooo............jaman wanagroup naombeni mnisamehe kwa kilichotokea Leo nimemuamin deeppond yuko vizuri [emoji2] [emoji2] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] DeepPond nisamehe sana mkuuu
 
Usimlaumu mtu kwa alichokifikiria, ndo uwezo wa akili yake... Achana nae tuendelee maisha yetu ya kumtafuta Khanji. Safari ya Mamba kenge na mijusi hawakosekani.
Mwafrika huwa hapendi maendeleo ya wenzake.
 
Mkuu we need you in this struggle more than anything bila wewe hii betting haina maana. Don't be drawn back by cheap people. Come back men, usituache humu jukwaani. Apud hoc proelium vinces
 
Deeppond hongeraaaa mnoooooo............jaman wanagroup naombeni mnisamehe kwa kilichotokea Leo nimemuamin deeppond yuko vizuri [emoji2] [emoji2] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] DeepPond nisamehe sana mkuuu
Sasa we **** ulifikiri chuki zitakupeleka wapi? In short nimekuchukia sana we mbwa na usinituhumu kwa kukutukana ndo ulitaka hivi. Huna umuhimu wowote hakuna mwenye utimamu wa akili anaeweza kukubali msamaha wako. Mpumbavu wewe
 
Mkuuu hasira za nin na hujawahi kula hata milioni ?????
 
Sasa we **** ulifikiri chuki zitakupeleka wapi? In short nimekuchukia sana we mbwa na usinituhumu kwa kukutukana ndo ulitaka hivi. Huna umuhimu wowote hakuna mwenye utimamu wa akili anaeweza kukubali msamaha wako. Mpumbavu wewe
alafu wewe kwenye hili jukwaa hata mwaka huna!!!!![emoji115] [emoji115] unajifanya mjuaji......sijawahi mtukana MTU be carefully kama hutonisamehe potelea mbali watakaorudhika na msamaha inatosha
 
Sasa mkuu Godzilla kama hujaridhika siupite kimya au hujui hizo shutuma zako zinakera......kama huamini kwenye betting tulia sisi tuendelee mbona simple tu
Mkuuu mm nimeridhika kuna mkuu mmoja anajiita varius ndio anatibua mambo
 
Wakuu na mamods mlio humu ndani sijawahi kumtukana mtuu tangu nimejiunga hili jukwaa nn mwaka varius kweli umejiunga april mwaka huu 2017 unantukana.......anyway nafikir ban inakuhusu
 
Ningekua mod ningekufutilia mbali huko sababu wewe ndo ulitaka kuharibu jukwaa hili sio matusi yangu
 
Mmeanza tena...Mkuu Godzilla tunaomba uachane na haya mambo yako ya ajabu ajabu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…