Shukran sana mkuu,Ongela dpond tayar cona 9
Mkuu DeepPond namba 2 haupo.Mkeka No. 3
Odds: 3.81
Stake: 52,700 Tsh.
Marejesho: 200,787 Tsh
Probability: 90%
Mapambano yanaendelea
View attachment 665609
nyamaza bhanaKikosi cha Liverpool leo hakina coutinho na salah
Ahahaha... Mkuu umenichekesha Sana'a....maana u nataman kila saa beki abutue nje iwe kona....hatarii saanaHuu mchezo wa kona mbaya sana mtu unaangalia mechi ila unaiombea timu yako unayoishabikiaga chance ya kufunga goli mchezaji apige imbabatize kipa atoe nje iwe kona. Betting kazi ngumu yataka moyo haswa
Ha ha ha.....kwa staili hii kanjibahhiii atarudi kwao!!!
Lester cityMazee corner ndio mkomboz kwa sasa. Gemu zipi zingine zina corner nyingi ?
Betting pia ni moja kati ya biashara zenye mgongano wa kimaslai sananyamaza bhana
hahahaahahahHuu mchezo wa kona mbaya sana mtu unaangalia mechi ila unaiombea timu yako unayoishabikiaga chance ya kufunga goli mchezaji apige imbabatize kipa atoe nje iwe kona. Betting kazi ngumu yataka moyo haswa
Ha ha ha....Huu mchezo wa kona mbaya sana mtu unaangalia mechi ila unaiombea timu yako unayoishabikiaga chance ya kufunga goli mchezaji apige imbabatize kipa atoe nje iwe kona. Betting kazi ngumu yataka moyo haswa
Kweli kabisa mkuu,Betting pia ni moja kati ya biashara zenye mgongano wa kimaslai sana
Mi mwnyw alniboa kweli kweli,Chelsea katia mtu 5-0 jana lakini sijafurahia hata kidogo, very strange kwa kweli
Upuuzi huu,
Kweli.Upuuzi huu,
Mambo ya void yanakera sana.
MTU UNASHINDWA KULALA NA MUAMALA.