Oworuganda
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 2,187
- 2,800
Upuuzi huu,
Mambo ya void yanakera sana.
MTU UNASHINDWA KULALA NA MUAMALA.
Kuna kona 4 hapo 1half kweliKikosi cha Liverpool leo hakina coutinho na salah
nadhani wanamaanisha uaweza kuuza huo mkeka kama unaona kunatimu itakuchania kwahiyo utawauzia kwa bei pungufu ya kiasi ulicho weka awali. ngoja nikaifuatilie vizuriMkuu hiv (sell) yao Inamaanisha
Nn maana me nmeshindwa kuielewa
Hongera sana mkuuJamani nilichokuwa nakifanya leo Mungu mwenyewe anajua, ni mwendo wa kucheza na kona tu, nang'ang'ana na timu moja tu, ikibadilika na mimi nabadilika hadi nimefanikiwa kumtusuaView attachment 665618
Mlishindwa nn sasa kufunga maturubai juu.Nipo Mbeya asee kuna mvua tokea asubuhi mpaka sa hb bado inapiga
Dhuuuuu kama n hvo bhas Haina tofaut nanadhani wanamaanisha uaweza kuuza huo mkeka kama unaona kunatimu itakuchania kwahiyo utawauzia kwa bei pungufu ya kiasi ulicho weka awali. ngoja nikaifuatilie vizuri
hahahaha asante sana chief, nahisi kama kwa mwendo huu naweza nikatoboa ni mwendo wa kutafuta nani anaongoza kona una mkadiria tuHongera sana mkuu
Mlishindwa nn sasa kufunga maturubai juu.
Mechi ipigwe kama kawaida
Aiseee nmewapa over 3.5 first halfWazee wenzangu wa Inplay
Hii game ya lester itakua na uhaba wa kona first half.
Hudders wanacheza kwa kujihami sana.
Twenzetu tujajilipue na under 6.5 first half corner.
Wamepiga moja tuAiseee nmewapa over 3.5 first half
Naona kabsa nmeingia king
Wao na Liverpool washa kua wasengerema
Kwenye Conner
hahahaha asante sana chief, nahisi kama kwa mwendo huu naweza nikatoboa ni mwendo wa kutafuta nani anaongoza kona una mkadiria tuHongera sana mkuu