Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nipeni tim za kushinda siku ya keaho hizo apo
 
Mdau samahani sana,naomba uniwekee matokeo ya orlando magic,chicago bulls na la lakers please hapa sina bando.

- Brooklyn Nets 98 - 95 Orlando Magic
- Chicago Bulls 112 - 112 Portland Trail Braizers (AOT 120 - 124)
- Minnesota Timberwolves 114 - 96 LA Laker's
 
Hizi game vp..singida utd,simba,azam ushindi utakuepo friendly game nitupie mzigo?maoni yenu wadau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…