Mkuu naomba unifanulie option ya handcap huwa siielewi kabisa.Slot No. 1
Bala Town - The New Saints FC
Over 1.5 goals
1.16
West Ham Utd - West Bromwich Albion
West Bromwich Albion (Handicap 0-2)
1.27
ahahahah anafikiri labda ni kutafuta 10000 na kutafuta odds 50 ili apate laki tano.
Mfano kwa hapo juu, nimempa WBA goli mbili before game hii inamaana WBA anaongoza 2 bila maana nimemtanguliza na goli 2. So WestHam ana kazi ya kukomboa hizo goli 2 ili mimi nikose pesa akishindwa kuzikomboa nimekulaMkuu naomba unifanulie option ya handcap huwa siielewi kabisa.
Hapo n kuwa huyo west bromMkuu naomba unifanulie option ya handcap huwa siielewi kabisa.
Naona kama vile ni option ngumu zisipopatikana hzo goli mbili.Mfano kwa hapo juu, nimempa WBA goli mbili before game hii inamaana WBA anaongoza 2 bila maana nimemtanguliza na goli 2. So WestHam ana kazi ya kukomboa hizo goli 2 ili mimi nikose pesa akishindwa kuzikomboa nimekula
mkuu mkeka wa mwisho nilidhani nitapoteza coz ilikua bado dakika 2 alafu bado points km 15 hivi sikuamini zimefikaje point 15 na zaidi yaniSure Chief ...hao waChina wana hatari sn.
Nisha-set reminder ktk simu mkuu, si ya kukosa kabisa.Hatareee sn hawa jamaa ... yani kule kuweka Under ni kujitakia pressure tu. Ingawa huwa zinatoka, lkn Over ndio balaa.
Ugumu ukowap wapNaona kama vile ni option ngumu zisipopatikana hzo goli mbili.
Ujanielewa, hapo maana yake kwa matokeo yoyote yale kama West Ham asiposshinda kwa tofauti ta goli 2 napiga pesa. Maana hzo goli nilizowapa WBA zitakua hazijafutwa na West HamNaona kama vile ni option ngumu zisipopatikana hzo goli mbili.
Kesho ni HAPA KAZI TU, nilitaka nitulie kwanza kubet ligi zichanganye kesho naenda kuchukua mtaji naingia ulingoni napishana sana na pesa. Itabidi twende pamoja tu mkuu we zikifika odds 1.5 ila ni makini shusha tu sisi wawekezaji tunafuata tuKama upo serious na hii business ndio inabidi uchukue hata lak5 ya mwez mmoja ya mshahara wako si ndio kuwekeza au wewe wanaposema kuwekeza ktk hii thread unawaza nini Mkuu?
mkuu mkeka wa mwisho nilidhani nitapoteza coz ilikua bado dakika 2 alafu bado points km 15 hivi sikuamini zimefikaje point 15 na zaidi yani
Yeah vizuri Mkuu, ila usije weka mshahara wote. Robo ya mshahara tu iyo inatosha usije vuruga mipango ya kifamilia mkagombana na mkeo ha ha ha ha ha. Na si lazima sana upo uwezekano mwengine mkubwa wa ku generate mtaji hata ukiwa na buku2 mfukoni ndani ya week mojaKesho ni HAPA KAZI TU, nilitaka nitulie kwanza kubet ligi zichanganye kesho naenda kuchukua mtaji naingia ulingoni napishana sana na pesa. Itabidi twende pamoja tu mkuu we zikifika odds 1.5 ila ni makini shusha tu sisi wawekezaji tunafuata tu
Nisha-set reminder ktk simu mkuu, si ya kukosa kabisa.
Wachina na ule ufupi ila wanadanki tu πππHahaha ... waChina utafkiri kila sekunde wanatupia kikapu. Mimi ikibaki dk 2 au 1 halafu bado vikapu 10-15, sina shaka nao kbs. Lazima vitafika tu.
Sometimes wanatoa mpaka vikapu 140 hio excluding over time. HahaHahah ... wakinipita hao huwa naumia sn. Ambaye hana vikapu vingi ni Bayi Rockets na Lioning ingawa leo hadi Bayi Rockets wamevuka vikapu 100 ... mara nyingi hawa hawavuki 100. Nafkiri hawana wafungaji wazr sn.
Mchawi wa 28 odds huyu apaHahah ... wakinipita hao huwa naumia sn. Ambaye hana vikapu vingi ni Bayi Rockets na Lioning ingawa leo hadi Bayi Rockets wamevuka vikapu 100 ... mara nyingi hawa hawavuki 100. Nafkiri hawana wafungaji wazr sn.
Mkuu kikapu niko mtupu sana, uwe unanitag tuHahah ... wakinipita hao huwa naumia sn. Ambaye hana vikapu vingi ni Bayi Rockets na Lioning ingawa leo hadi Bayi Rockets wamevuka vikapu 100 ... mara nyingi hawa hawavuki 100. Nafkiri hawana wafungaji wazr sn.
game zilikua sa ngap???Hahah ... wakinipita hao huwa naumia sn. Ambaye hana vikapu vingi ni Bayi Rockets na Lioning ingawa leo hadi Bayi Rockets wamevuka vikapu 100 ... mara nyingi hawa hawavuki 100. Nafkiri hawana wafungaji wazr sn.
Dah pole Mkuu umemkosa kosa kidogo hapo kumuotea, hii ndio ile nilikua namwambia mdau mmoja hapa, sasa imagine hao wote wangekua mkeka wa single single, maana yake ungechana mmoja tu hapo mingine yote ungekua umempiga. So point inakuja kwa single rate ya kuliwa upungua plus kuna time mnagawana anaweza kukupiga miwili we ukampiga mitatu nkMchawi wa 28 odds huyu apaView attachment 666519