Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yap yap mkuu hii inabidi iwe reasonable business with reasonable profits hata ivo ukijaribu kufanya tathmini nzuri utagundua betting ina marejesho mazuri sana kibiashara ukilinganisha na mtaji unaowekeza
 
Alosto mbaya sana asee....nataka nichape stake kwa kuwaomba kona 9 wafuato
Atalanta
Crstal palace
Tottenham
Odds 2.31 ushauri tafadhali
 
Kwa mkakati upi wa kuikuza 2000
 
Ni kweli chief
 
Kwa mkakati upi wa kuikuza 2000
Tafuta leo game moja moja zilizoachana muda wa kuchezwa kisha cheza option yrnye possibility kuwa.
Let say ungeanza ya asubuhi
2000x1.5 = 3000
3000x1.5=4500
4500x1.5=6750 nk.

Cheza single bet ila tafuta games zenye high chance ya kutoa, kumbuka upo pia uwezekano wa kupoteza but si mbaya maana unakua ulijaribu buku 2 tu
 
Hawa montrose walkua wana nipa presha tu afadhali
1-0
Mkeka una pumua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…