Utaratb wao wa kudeposit na withdraw kwa airtelmoney ukoje?1xbet .........watu wanawakejeli mnoo ila kwangu hawana tatizo kuwithdraw inachukua dk 1-10 minutes within
Deposits ni sekunde 1[emoji120] [emoji120]
Na hawakati kodi na odds zinachange ukiwa inplay ukicheza kawaida hazibadiliki kama jamaa fulan akidai et odds 7 znadrop mpaka 3???
Simlazimish mtuu ni hiar yakooo
Kila unapoweka mikeka ni tag mkuu nipate kukopiPoleemkuuu yamejazana nyumaa yotee haya tokamchana
Ikiwekwa ni tag mkuu, naomba mikeka ya LeoHyo mizigo yote ilkuepo jana mapema kabisa
Huu uzi umejaa ma jobless tupu
Thanx broHyo ela watalipa leo usiku, KESHO asbuh unachkua ela.
Hyo game postponed wanaiondoa.
Znabak odd 3.6
Hahaha ... kwa hiyo inakuuma sie kuwa jobless?
Mkuu airtel siitumii hivyo utaratibu wao sifahamu natumia voda.......na kucashout sijafahamu vizuri naona sell odds yan unauza mkeka ukiona mambo yameenda mrama[emoji1] [emoji1]Utaratb wao wa kudeposit na withdraw kwa airtelmoney ukoje?
Kwa kifup tafadhar
Afu, khs cash out
vp wanayo hyo service?
Hahaha we mwache tu mkuu aendelee kuishi kwa kukariri
Ukiingia kwenye app yao utaona upande wa kushoto kuna menyu ukibonyeza utaona juu kabsa wamekwambia top account bonyeza hiyo top a/c alafu watakuletea pay options utachagua unayo itaka kwa mitandao ya tanzania ipo mitatu ambayo ni tigo,vodacom na airtel sasa ukitaka kudeposit chagua mtandao unaoutaka itakudirect njisi ya kuweka pesa ina weza chukua sekunde 40 mpka dakika tatuCc Mr Q tunaomba utaratibu kudeposit Airtel kwa 1Xbet
Na wakuu wengine mnaojuaaa jamani
haahahahahdahahNdugu Mzazi/ Mlezi, wakati tukisherekea mapumziko ya mwishoni mwa mwaka na mwaka mpya ,2018, tunakukumbusha kuwa shule itafunguliwa tarehe 9/01/2018.
Uongozi wa shule unakukumbusha kuwa mtoto wako hataruhusiwa kupanda basi la shule wala kuingia darasani kama hujalipa ADA. Malipo yote yafanyike kwenye Akaunti ya Shule na stakabadhi ikabidhiwe kwa Mhasibu siku ya kufungua Shule
Tunakutakia Heri ya mwaka 2018
UONGOZI WA SHULE..
ME NIMEWEKA HIVIWale wenzangu wa MKEKA WA supu No. 1
Hao wa kwanza juu ni wanaume
Hao wa pili chini ni wanawake.
Mkuu hupotezi mda hehehe, jana San Antonio ksninyima hela dah, katoa underNimechangamkia fursa ... ngoja tusubiri !
wana airtel na vodaUkiingia kwenye app yao utaona upande wa kushoto kuna menyu ukibonyeza utaona juu kabsa wamekwambia top account bonyeza hiyo top a/c alafu watakuletea pay options utachagua unayo itaka kwa mitandao ya tanzania ipo mitatu ambayo ni tigo,vodacom na airtel sasa ukitaka kudeposit chagua mtandao unaoutaka itakudirect njisi ya kuweka pesa ina weza chukua sekunde 40 mpka dakika tatu