Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

hawa wachina watatu wa mwanzo wanapotential ya kuvuka vikapu 215.5 kama sio 220.5 kabisa ... tena huyo wa kwanza kwa spidi hii anaenda hadi over 250.5


 
hongera sana mkuu progress yako iko poa sana
 


Aksante mkuu , nilimfuata huyo wa kwanza, naona ameshanipa hela
 
Hyo game itakua ngumu kea barca, ukzngatia kua huwa wanna bahat mbaya sn na ule uwanja wa celta.
 

BET LOST!

Fujian Vs Quigdao wameshindwa kutoa Over 227.5 wameishia 223! Missing 5...!

Hawa wengine wawili wa kwanza wametoa.

Huyu Fujian alinitisha sana mwanzoni kwa Over 227.5 kidogo nimpe under ila ndiyo hivyo, ningejua huja baada ya....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…