Z. Z. Rumisha
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 1,044
- 885
hakuna mechi nyingine ya basketi nijipoze wakuu maana kwenye futbal kanji kaniumiza leo
Yani kule raha yakeKabisa kaka NBA ndiyo balaa! Muhindi anagawa Odds za maana sana
hapana mkuu huwa utaratibu wa basket siufaham sasa tunadesa desa kwenu wataalamu tupige na sisi masalioLeague zingine zipo. Ila kwa nBA ndiyo moja tu hii ya LA Clippers Vs GSW. Kesho leo usiku zipo.
Usikose kutembelea hapa tutarusha TIPS. Wadau akina BABA-D, Koncho77, Buddy, Willy Billy, et. al.
Karibu
Yani kule raha yake
Zinaweza kuwa zimebaki Dk 3, harafu WATU wakapiga vikapu 20.
hapana mkuu huwa utaratibu wa basket siufaham sasa tunadesa desa kwenu wataalamu tupige na sisi masalio
Hawa jamaa wametoa curry tenaHaina shida, tembelea jukwaa mara kwa mara
Hawa jamaa wametoa curry tena
Nimeishatoa mkuu.
Weka Over 225.5 Total Points
Gane ya LA Clippers vs GSW
Tupeane inplay mapema tuuTuendelee na wanaofuata wazee...nimestuka usingizini *****
Tupeane inplay mapema tuu
Nilifata inplay nikakuta ov 222.5 nikatembea nayo ila muhindi alivyonyoko nikampa ov 124 gsw wakala kichwaKama uliifata
BET WON [emoji857][emoji857][emoji857][emoji857][emoji4][emoji4]
Tumebalance kipapu kimoja tu..
Nilimanisha kwa quarter,InPlay itatoka vipi mapema mkuu?