Aisee hawa princes wamekua wezi sasa hv game nimekula wananiekea losse
Nifanyeje wadau?
Duuu mjomba wape kizwite chanji majengo sumbawanga wenyeji nkLeo mpesa huku kwet sumbawanga ni majanga matupu
Hebu leta mkeka tuuone kwanza
daaah mi siwezi hata kueleza vizuri mkuu
Duh wapo vizuri sana kwa option1X bet hii mkuu
Wako sawa quarter ya 4 vimetoka vikapu 25 na ww uliweka over 31.5
Huu mekeka wa basketball niliweka over ya (31.5) na wakamaliza kota ya 4 kwa point ( 61:71)
Kantalamba mkuuDuuu mjomba wape kizwite chanji majengo sumbawanga wenyeji nk
Huu mekeka wa basketball niliweka over ya (31.5) na wakamaliza kota ya 4 kwa point ( 61:71)
Wako sawa quarter ya 4 vimetoka vikapu 25 na ww uliweka over 31.5
Huu mekeka wa basketball niliweka over ya (31.5) na wakamaliza kota ya 4 kwa point ( 61:71)
Mkuu mara nyingi mechi huwa naicheki live.Kwa observation ndogo niliyoifanya ile timu yenye odds ndogo na iliyopigwa kwenye quarter iliyopita ndiyo huwa ina race to 10.0 points ya kwanza.
koncho77 please msaada hata sasa hivi nimetoka kunyooshwa elfu 15, hii option inanipotezea sana hela
Sawa mkuu nishelewaMkuu vimetoka vikapu 25 tu kwa hiyo ni under
Mkuu mara nyingi mechi huwa naicheki live.
Na kama siicheki live kuna akaunti ya nba twitter huwa inatoa statistics za game inavyoendelea ni hayo tu mkuu
Nime-jichanganya mwenyeweQuarter ya nne wamemaliza kwa point 25 (10+15) ambayo ni under 31.5 hivyo umepoteza.
Basketball Livescore - Livescore.in
Angalia matokeo hapo kwenye link
mkuu nilijaribu kujisajiri hiyo 1xbet sehemu ya promo code nilishindwa nijaze nini
Winning gang tipsApplication gani hii?
sajili fast accountmkuu nilijaribu kujisajiri hiyo 1xbet sehemu ya promo code nilishindwa nijaze nini